OMUSHAIJA ENTARE (@edwinchelialis) 's Twitter Profile
OMUSHAIJA ENTARE

@edwinchelialis

ID: 1561967024389214210

calendar_today23-08-2022 06:42:45

19,19K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

1. Tuliza moyo wako. 2. Kubali mapungufu yako. 3. Rahisisha mahitaji yako. 4. Ridhika na ulichonacho. 5. Ongeza kipato chako. 6. Chunga, tamaa mbaya.

WHYMYCATISSAD (@influencerjr) 's Twitter Profile Photo

Peter Madeleka Poti unajitoa sana ufahamu recently, alichokisema Heche ndio msimamo wa CDM tokea awali, reforms zinapatikana vipi bila kurudi kwenye meza ya majadiliano? Reforms zikifanyika kwanini wasirudi kwenye uchaguzi? Wao hawakatai uchaguzi ila wanakataa uchaguzi bila reforms.

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Ninatamani sana nipate mjadala na Mwami. Yeye atetee msimamo wao na CCM pamoja na washirika wao wa NO REFORMS, YES ELECTION na mimi nitetee msimamo wa umma wa NO REFORMS, NO ELECTION. Hope umma unatamani sana huu mjadala pia.

Ninatamani sana nipate mjadala na Mwami. Yeye atetee msimamo wao na CCM pamoja na washirika wao wa NO REFORMS,  YES ELECTION na mimi nitetee msimamo wa umma wa NO REFORMS, NO ELECTION.  Hope umma unatamani sana huu mjadala pia.
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Huyu aliyevaa kiraia ni nani na anafanya nini hapo na Tundu Antiphas Lissu kizimbani??? Yaani mtu kama Gerson Msigwa anatuambia tupuuze ishu ya Lissu kupewa sumu wakati watu wasio na utambulisho rasmi na makaunda suti zao wanamsogelea Lissu hadi kizimbani? Nasubiri Mahakama ya Tanzania mtueleze

Huyu aliyevaa kiraia ni nani na anafanya nini hapo na <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> kizimbani???
Yaani mtu kama <a href="/MsigwaGerson/">Gerson Msigwa</a> anatuambia tupuuze ishu ya Lissu kupewa sumu wakati watu wasio na utambulisho rasmi na makaunda suti zao wanamsogelea Lissu hadi kizimbani?
Nasubiri <a href="/judiciarytz/">Mahakama ya Tanzania</a> mtueleze
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Heri ya siku ya kuzaliwa John Heche ... Hii picha imepigwa August 2008. Hii ilikuwa ni katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Tarime, baada ya kufariki Chacha Zakayo Wangwe. Ni miaka 17 sasa imepita. Hapa ni siku tumerudisha fomu yako ya kugombea udiwani kupitia CHADEMA - kata ya

Heri ya siku ya kuzaliwa <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> ... 

Hii picha imepigwa August 2008. Hii ilikuwa ni katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Tarime, baada ya kufariki Chacha Zakayo Wangwe. Ni miaka 17 sasa imepita. 

Hapa ni siku tumerudisha fomu yako ya kugombea udiwani kupitia CHADEMA - kata ya
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Tukitoka nje ya chumba cha Mahakama pale Kisutu,tunakaa vikundi vikundi na kuanza Kujadili kama Wanasiasa Vijana. Je njia anayopitia Mh.Lissu sisi vijana wake tungeweza..? Hakika tunapata mafunzo na ujasiri mkubwa, kutoka Kwa Mheshimiwa Lissu namna ambavyo anakabiliana na

Tukitoka nje ya chumba cha Mahakama pale Kisutu,tunakaa vikundi vikundi na kuanza Kujadili kama Wanasiasa Vijana.

Je njia anayopitia Mh.Lissu sisi vijana wake tungeweza..?

Hakika tunapata mafunzo na ujasiri mkubwa, kutoka Kwa Mheshimiwa Lissu namna ambavyo anakabiliana na
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kwanza nimefurahi sana kuona ninachokiona sasa.🙏🏿 Mrisho mpoto LILE CHAWA mpaka linalithisha MTOTO uchawa limefiwa. Limepoteza MKE. Sasa limejichanganya limepost msiba wake. Watanzania Wamelipokea VILE LIMEKUJA. Kiukweli Comments zinafariji sana. Sisi wapenda HAKI tumekunwa

Kwanza nimefurahi sana kuona ninachokiona sasa.🙏🏿

Mrisho mpoto LILE CHAWA mpaka linalithisha MTOTO uchawa limefiwa. Limepoteza MKE. Sasa limejichanganya limepost msiba wake.

Watanzania Wamelipokea VILE LIMEKUJA. Kiukweli Comments zinafariji sana. Sisi wapenda HAKI tumekunwa
LilCrvsh🦋 (@mill3n_kl3in) 's Twitter Profile Photo

EastAfricaTV Dodoma pamekua karibu na rahisi kufika kuliko pale kisutu kwenye kesi ya TAL, mzee ile legacy aliyokua aiache anaanza kuipaka matope mwenyewe!!!

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Watu wa Kanda Maalum hawalembi.🙌 Catherine Ruge kamtumia Garatwa msg akimuomba waonane, Garatwa kamuuliza wewe nani? Eti anashangaa , umefuta namba yangu ikabidi ajitambulishe. Kaona hajibiwi, ikabidi apige simu na haya ndo majibu aliyopewa. Watu hawataki ujinga.😂😂😂😂

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Dira ya Taifa au Dira ya CCM? Kama hakuna Katiba Mpya na bora, hiyo Dira ya Taifa ni kazi bure. Mafisadi wanaotajwa katika taarifa ya CAG wataendelea kutafuna mali za UMMA. Unaweza kutengeneza DIRA hadi 2050 lakini hutaki ‘electoral reforms’ kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025?

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Me nilitegemea kuona serikali inawaza kupunguza matumizi yasiyo ya msingi na sio kuhangaika kuleta kodi kwa kundi linalojitafuta sababu ya ukosefu wa ajira..Sawa acha tulipe kodi zikalipe goli la maza na bilioni 1 za taifa stars wakishinda na bahasha za chawa,sisi tufe.

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

No reforms no election haina mmiliki, ni agenda ya watanzania wote, tutamuunga mkono yeyote anayeamini katika tunayoyaamini. Tutakuwa ni wendawazimu tukiacha kuunga mkono harakati za kuleta mageuzi katika nchi yetu tukakusikiliza wewe unayepingana na maamuzi ya chama kila siku

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mahakama za Tanzania!!!! Kesi kubwa hii, zama za teknolojia hizi, mnataka kuendesha kesi yenye hukumu ya kunyonga kwa kuficha mashahidi!!!!! How? Kama mtu atakua kizimbani kutoa ushahidi akiwa na computer, simu au amendikiwa au hata AI inaongea nani atamuona!!! Jambo mmoja kwa

Mahakama za Tanzania!!!!

Kesi kubwa hii, zama za teknolojia hizi, mnataka kuendesha kesi yenye hukumu ya kunyonga kwa kuficha mashahidi!!!!! How?

Kama mtu atakua kizimbani kutoa ushahidi akiwa na computer, simu au amendikiwa au hata AI inaongea nani atamuona!!!

Jambo mmoja kwa
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Hakuna ushahidi wa siri kumnyonga Lissu. Watanzania ni wakati wa kukataa uhuni na vyombo vya dola kutumika kisiasa kuonea watu. Msikubali huu uhuni.

Hakuna ushahidi wa siri kumnyonga Lissu.

Watanzania ni wakati wa kukataa uhuni na vyombo vya dola kutumika kisiasa kuonea watu.

Msikubali huu uhuni.
Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa mwendokasi usingekuwa na janja janja Dar tungeufurahia kama SGR au daraja la Magu vinavyofurahiwa sasa, kama nchi miradi inatakiwa isimamiwe vizuri kwa maslahi ya kizazi cha baadae. Wanaokwamisha miradi wanyongwe