Peter Madeleka
@PMadeleka
Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers
ID:1387685001534316546
29-04-2021 08:28:16
8,6K Tweets
94,7K Followers
5,6K Following
Hakuna SHERIA yoyote ya Tanzania inayotoa MAMLAKA kwa Police Force TZ KUZURULA na MTUHUMIWA kwa KISINGIZIO chochote, iwe ni “UPEKUZI” au vinginevyo. MTUHUMIWA akishakamatwa anatakiwa AKAE MAHABUSU au APEWE DHAMANA. Ni KOSA KISHERIA KUZURULA na MTUHUMIWA.
Kitendo cha Police Force TZ KUSHINDWA kutoa DHAMANA kwa Boniface Jacob na MalisaGJ ni FEDHEHA kwa UTAWALA WA SHERIA kwa sababu “MAKOSA” yanayowakabili yana DHAMANA kwa mujibu wa SHERIA. Mbona yule KIJANA wa UVCCM kule KAGERA ANAYEPOTEZA WATU HAJAKAMATWA?
Ndani ya MIAKA 60 ya MUUNGANO, “AMANI” na “USALAMA” wa BEN SAANANE na AZORY GWANDA, HAUPO. Familia zao bado zinaendelea KUADHIMISHA MISIBA ambayo haina UKOMO Samia Suluhu
Naomba NILIPONGEZE Police Force TZ kwa KUJA HADHARANI na “KUTOA TAARIFA YA KUJICHANGANYA” kuhusu KIFO cha UTATA cha kijana ROBERT MLANGA MUSHI. Ingawa “TAARIFA” hiyo imetolewa kwa KUCHELEWA, lakini imethibitisha UMUHIMU wa Boniface Jacob .