Ndolagi Boniphace
@dalalindolagi
Secretary General Tanzania
ID: 2177861704
12-11-2013 07:17:21
640 Tweet
86 Takipçi
133 Takip Edilen
Hivi Kigogo Media huwa yupo au alishakata moto kama Haji Manara
Yanga ni moja tu Duniani Eng. Ndembo Jafari Young Africans SC Kila la heri Wananchi
Wananchi we made it Young Africans SC well done all, we deserved
Tumeshajifunza kushinda na kupata tunachostahili. Hongera timu ya Wananchi Young Africans SC
Hongera timu yangu Young Africans SC jana tumeshinga sisi sio wanyonge, kanuni za CAF zimetunyima kombe. Always there is a next time and will be back there more strong.👏👏👏 Eng. Ndembo Jafari Ali Kamwe
Ifikie hatua Dunia ielewe kwamba ni Tanzania hapa na haya yamefanywa club bora Africa ambayo iko ndani ya Top 5 nayo ni Young Africans SC iliyochini ya Eng. Hersi Said na timu yake makini. TUNAJIVUNIA YANGA YETU YA AFRIKA Eng. Ndembo Jafari Ali Kamwe Arafat Ally Haji Young Africans SC
Mafanikio hayaji kwa wale siojituma..... Sitaki kuwa tajiri na nataka kufanikiwa....👏👏👏👏 Happy Birthday Homeboy #KitaaREJEX OUT NOW..!!!