Charles Okama (@chalzweezy) 's Twitter Profile
Charles Okama

@chalzweezy

Jifunze kuelewa.

ID: 568333842

calendar_today01-05-2012 14:30:14

3,3K Tweet

532 Followers

4,4K Following

Nigga hood the McโœŠ๐Ÿฟ๐Ÿ‘ฎ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ (@lucasodero8) 's Twitter Profile Photo

#HipHopFamily kuweka sawa kumbukumbu SI uchochezi bwana โœŠ๐Ÿฟ Hip Hop culture siyo Taarabu vita ya vijembe! Hip Hop niuhalisia ukizingua unazinguliwa. #TunaPostHipHopTu โœŠ๐Ÿฟ๐Ÿ‘ฎ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ

Chadema Kanda ya Pwani (@chademapwani) 's Twitter Profile Photo

Viongozi na wanachama wameitumia siku ya leo April 16, siku moja baada ya kufunguliwa shughuli za chama kuendelea na madai ya kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa chama Mh Tundu Lissu. #FREE LISSU

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu ambaye yupo ndani ya kuta za gereza Ukonga asingeweza kwa njia yoyote ile kumtafuta Dr. Chakwera Kwa hiyo hapa hoja ya nani alimtafuta mwenzake itโ€™s obvious ni Chakwera ndiye aliyemtafuta Lissu ama kwa maelekezo, au utashi binafsi. Kauli ya Lissu โ€œNipo tayari kwa

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Taifa letu na jamii yake, mfumo wetu wa haki jinai hautafaidika kwa Tundu A.M Lissu kuendelea kuwekwa kizuizini au kufungwa kwa mashtaka ya uongo ya uhaini. Mwendelezo wa kutumia sheria vibaya kukandamiza wapinzani. Kwa sababu hizo, mnasababisha mitengano ya kijamii na

Swahili Agribusiness ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Unapofuga mbuzi kwaajili ya nyama & unataka ufuge KIBIASHARA ila unatumia mbuzi wa kienyeji, basi baada tu ya kuacha kunyonya, mbuzi wasipewe pumba kwani haina mashiko ya kiuchumi. Tumia nyasi nzuri pekee inatosha..

Unapofuga mbuzi kwaajili ya nyama & unataka ufuge KIBIASHARA ila unatumia mbuzi wa kienyeji, basi baada tu ya kuacha kunyonya, mbuzi wasipewe pumba kwani haina mashiko ya kiuchumi.

Tumia nyasi nzuri pekee inatosha..
Swahili Agribusiness ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Mbuzi wa kienyeji wanakuwa taratibu na wagumu kdg kureact na malisho mazuri, hivyo tumia nyasi pekee bila pumba baada ya kuacha kunyonya. Tumia pumba kikamilifu kwa mbuzi wa kisasa.. Jifunze zaidi..

Mbuzi wa kienyeji wanakuwa taratibu na wagumu kdg kureact na malisho mazuri, hivyo tumia nyasi pekee bila pumba baada ya kuacha kunyonya.

Tumia pumba kikamilifu kwa mbuzi wa kisasa..

Jifunze zaidi..
Swahili Agribusiness ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

#JoinUs Unataka kuanza fanya hivi.. Chukua majike ya maeneo yako, kienyeji Mix na dume moja la kisasa Boer, Savanna au Galla Dume moja anaweza panda majike 30-50 FAIDA > utapata mbuzi wasioathiriwa na mazingira > wanajenga misuli haraka Jifunze zaidi..

#JoinUs

Unataka kuanza fanya hivi..

Chukua majike ya maeneo yako, kienyeji

Mix na dume moja la kisasa 

Boer, Savanna au Galla

Dume moja anaweza panda majike 30-50

FAIDA 

> utapata mbuzi wasioathiriwa na mazingira

> wanajenga misuli haraka

Jifunze zaidi..
Mr Mushi๐Ÿ… (@mrmushico) 's Twitter Profile Photo

Tengeneza samani (furniture) za kisasa na imara kwa kutumia mbao ngumu ya Mninga. โœ” Ubora wa hali ya juu โœ” Imara na inadumu muda mrefu โœ” Muonekano wa kuvutia kwa nyumba yako ๐Ÿชต MBAO ZA MNINGA Sizes & Bei: 2ร—8ร—9 โ€“ Tsh 120,000 2ร—6ร—9 โ€“ Tsh 80,000 โœ” Mninga halisi (Hardwood)

Tengeneza samani (furniture) za kisasa na imara kwa kutumia mbao ngumu ya Mninga.
โœ” Ubora wa hali ya juu
โœ” Imara na inadumu muda mrefu
โœ” Muonekano wa kuvutia kwa nyumba yako
๐Ÿชต MBAO ZA MNINGA
Sizes & Bei:
2ร—8ร—9 โ€“ Tsh 120,000
2ร—6ร—9 โ€“ Tsh 80,000
โœ” Mninga halisi (Hardwood)
Mr Mushi๐Ÿ… (@mrmushico) 's Twitter Profile Photo

Tumia mbao ngumu (Hardwood) zenye rangi nzuri kwa samani zenye mwonekano wa kuvutia. ๐Ÿชต MNINGA โ€” mbao yenye ubora wa juu na inayodumu muda mrefu. Bei za Mninga: 2ร—8 โ€“ Tsh 120,000 2ร—6 โ€“ Tsh 80,000 ๐Ÿ“ฒ WhatsApp: +255 670 989 862

Tumia mbao ngumu (Hardwood) zenye rangi nzuri kwa samani zenye mwonekano wa kuvutia.
๐Ÿชต MNINGA โ€” mbao yenye ubora wa juu na inayodumu muda mrefu.
Bei za Mninga:
2ร—8 โ€“ Tsh 120,000
2ร—6 โ€“ Tsh 80,000
๐Ÿ“ฒ WhatsApp: +255 670 989 862
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

April 09, 2026 Pauline Walters Pallangyo alikamatwa akiwa kwa nduguze huko Dodoma baadae akapelekwa Dar es Saalam. Akaendelea kushikiliwa mahabusu. Mawakili na ndugu zake hawaelezwi kosa la Pauline Pallangyo. Ameshikiliwa bila kupelekwa Mahakamani. April 18, 2026 anaachiwa huru

April 09, 2026 Pauline Walters Pallangyo alikamatwa akiwa kwa nduguze huko Dodoma baadae akapelekwa Dar es Saalam. Akaendelea kushikiliwa mahabusu. 

Mawakili na ndugu zake hawaelezwi kosa la Pauline Pallangyo. Ameshikiliwa bila kupelekwa Mahakamani. April 18, 2026 anaachiwa huru
Swahili Agribusiness ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

(1/2) Mimba ni miezi 5. Zikibak wiki 6 kuzaa (mimba ya miez 3.5) Mimba huwa kubwa mpk kubana tumbo la awali (rumen) Sukari hushuka kwa sababu hii Stress huwa kubwa Abortion rate huwa kubwa Kuzuia + Ongeza Molasses kwenye majani + Mpe mbuzi (HEC) High Energy Concentrate ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

(1/2)
Mimba ni miezi 5.

Zikibak wiki 6 kuzaa (mimba ya miez 3.5)

Mimba huwa kubwa mpk kubana tumbo la awali (rumen)

Sukari hushuka kwa sababu hii

Stress huwa kubwa

Abortion rate huwa kubwa

Kuzuia
+ Ongeza Molasses kwenye majani
+ Mpe mbuzi (HEC) High Energy Concentrate
๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
Swahili Agribusiness ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

HEC - Changanya Pumba na chumvi ya mezani tu. + 100kg pumba ya mahindi + 0.5 kg chumvi Mpe robo mpka 300g kwa siku. Jifunze zaidi Follow the TANZANIAN RED MEAT By Swahili Agribusiness channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029Vbโ€ฆ

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Nimepata morali zaidi. โœŠ๐Ÿพ Mwenezi wa wahuni wa mbogamboga anapiga marufuku Watanzania wasituchangie, sisi tunaongeza kasi. Usiku huu nimebarikiwa chochote kitu na kuchangia Tsh 100,000 kuunga mkono harakati za ukombozi wa kweli. Ikiwa 'Tone Tone' inawanyima usingizi kiwango

Scarface (@crypt0_scarface) 's Twitter Profile Photo

BW4F404A1C 1st Half Bookings - Under 2.5 โšฝ๏ธ ๐ŸŽฏ Odds: 3.21 โฐ Time: 12:30PM ๐Ÿ”ด๐Ÿ–คโ™ ๏ธโ™ฆ๏ธโšซ๏ธ๐Ÿšจ #Betway

BW4F404A1C
1st Half Bookings - Under 2.5 โšฝ๏ธ
๐ŸŽฏ Odds: 3.21

โฐ Time: 12:30PM

๐Ÿ”ด๐Ÿ–คโ™ ๏ธโ™ฆ๏ธโšซ๏ธ๐Ÿšจ

#Betway