Celestine Simba (@celestine_simba) 's Twitter Profile
Celestine Simba

@celestine_simba

Mgombea ubunge jimbo la ULANGA 2020 (CHADEMA)na SPIKA WA BUNGE LA WANANCHI.

ID: 1076434296364302342

calendar_today22-12-2018 11:08:30

1,1K Tweet

3,3K Takipçi

671 Takip Edilen

Celestine Simba (@celestine_simba) 's Twitter Profile Photo

Damu hii na iwe juu ya samia suluhu na vizazi vyake na juu ya washirika wake wote. Wala sauti ya damu hizi isipungue masikio ni mwake, akiwa macho au amelala.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

OFISI YA MASHTAKA YA TAIFA(DPP) NA POLISI KWA MATENDO YAO WANAMWAGIA PETROLI WAKIDHANI WANAZIMA MOTO .IT IS AN ILLUSSION KUMTUHUMU JOHN HECHE KWA UGAIDI.Achaneni na huo upuuzi.Hali ya Usalama siyo nzuri kuendelea na desturi zenu za kupika Kesi ili kubambika watu mnatia aibu

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨TUNDUMA NENDENI HARAKA KUCHUKUA MIILI YA WAPENDWA WENU GODOWN YA VWAWA‼️ Tuache woga na tusikubali kunyimwa miili Ninyi watanganyika mnaohusika kumsaidia huyu Shetani mwuaji Samia Suluhu kuficha miili ACHENI ❌ Wahini na DAINIA Bodies of those killed in Tunduma are stored at

‼️🚨TUNDUMA NENDENI HARAKA KUCHUKUA MIILI YA WAPENDWA WENU GODOWN YA VWAWA‼️
Tuache woga na tusikubali kunyimwa miili
Ninyi watanganyika mnaohusika kumsaidia huyu Shetani mwuaji <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> kuficha miili ACHENI ❌
Wahini na DAINIA
Bodies of those killed in Tunduma are stored at
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Huyu Tahara ameichomesha serikali ya Tanzania kwa Marekani US Embassy Tanzania Hamza kama mwanasheria anajua maandamano sio kosa kabisa ndani ya sheria zetu na Katiba yetu Hivyo anaposema lazima kumkamate na anasema kimwanamke kile ( amekuwa personal na kutumia nyege kama Vile mange

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Chama cha Wananchi (CUF) kimetaka kuundwa kwa Serikali ya Mpito (Caretaker Government) ya Tanzania itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru na wa haki, kikikataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai kuwa haukuwa huru, wa haki, wala

CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

Profesa Anna Tibaijuika ambaye ni Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Makazi, ametuma salamu za pole kwa Watanzania wote waliofikwa na madhara ya maandamano ya Oktoba 29, 2025 na kushauri kwamba wote waliofariki wazikwe kwa heshima. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani

Profesa Anna Tibaijuika ambaye ni Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Makazi, ametuma salamu za pole kwa Watanzania wote waliofikwa na madhara ya maandamano ya Oktoba 29, 2025 na kushauri kwamba wote waliofariki wazikwe kwa heshima.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amewaalika Mapadri, Watawa na Waamini Walei wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kuadhimisha Misa ya Wafu kwa nia ya kuwaombea pumziko la milele ndugu zetu marehemu waliouawa wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania

Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amewaalika Mapadri, Watawa na Waamini Walei wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kuadhimisha Misa ya Wafu kwa nia ya kuwaombea pumziko la milele ndugu zetu marehemu waliouawa wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

SECOND LIBERATION 🇹🇿 Gen Z 🇹🇿 have decided that December 9 is their next day of protest The significance is that in 1961 on this Day is when TANGANYIKA got independence Mark this - Tanganyika! Where the massacre occured on October 29 to date! Mungu Ibariki Tanzania Mungu

SECOND LIBERATION 🇹🇿
Gen Z 🇹🇿 have decided that December 9 is their next day of protest
The significance is that in 1961 on this Day is when TANGANYIKA got independence 
Mark this - Tanganyika! Where the massacre occured on October 29 to date!

Mungu Ibariki Tanzania 
Mungu
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨WAWEKEZAJI WAMEANZA KURUDI NYUMA‼️ Mtu mjinga atabomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe! Kwa mujibu wa taarifa za mdau Samia Suluhu alikaa kikao na wawekezaji wakubwa DP World kufuatia mauaji halaiki na vurugu ya kufunga mitandao nk Sasa alijua ni wajomba watampa sapoti

‼️🚨WAWEKEZAJI WAMEANZA KURUDI NYUMA‼️
Mtu mjinga atabomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!
Kwa mujibu wa taarifa za mdau <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> alikaa kikao na wawekezaji wakubwa DP World kufuatia mauaji halaiki na vurugu ya kufunga mitandao nk
Sasa alijua ni wajomba watampa sapoti