Aikande Clement Kwayu
@aikande
Author - academic books, articles & chapters| Political Science & IR | Civil Rights Activist | Life Insurance | Follower of Christ.
ID:61226328
http://www.aikandekwayu.com 29-07-2009 15:53:23
41,9K Tweets
46,0K Followers
2,9K Following
.Ayker-Adila: 'taifa bora lenye watu wenye kipato linajengwa kwa watu wenye utimamu wa akili unaosababishwa, mbali na mambo mengine, na utulivu kwa kufahamu kwamba utu wao unalindwa na faragha zao zinaheshimiwa.' hoja kuntu hii: thechanzo.com/2024/04/23/hat…
Resistance is always timely, but there are moments when it seems more urgent than ever
Writing And/As/About Resistance, at Corporeal Writing
corporealwriting.com/current-offeri…
Kila mtoto ana haki ya kusoma. Elimu ni haki ya msingi. Mimba sio jinai. Rais Samia Suluhu yuko sawa kusema watoto wote warudi shule. #ArudiShule .
Mhe Rais Samia Suluhu huyu Mkuu wa Mkoa anaenda kinyume na agizo lako la Nov.2021 na Waraka wa Kamishna wa Elimu No. 2 2021 kuhusu kurudisha watoto waliodondoka kwa ajili ya ujauzito na sababu nyingine kurudi shule.
Tuko hapa: Kongamano la Siku ya Ubunifu na Uvumbuzi Duniani lililoandaliwa na The Chanzo.
Tuka hapa kuzungumzia #UhuruNaUbunifu wa Kidigitali nchini #Tanzania .
Kongamano hili limekuja wakati sahihi hasa kwa kuzingatia makuzi ya teknolojia na mabadiliko ya namna tunavyopata
'Tunabadilisha dunia yetu kwa kubadilisha tabia zetu.' - Risha Chande at #UhuruNaUbunifu by The Chanzo.
419 abstract submissions already in the system for AfricanStudiesUK conference, with 29 hours to go before we close the submission link. The link will close definitely at midnight Lagos & London time on Sunday 21 April.
Tanzania's leading multimedia storytelling platform providing breaking news, analysis, reports etc, The Chanzo is hosting Digital Freedom & Innovation Day, bringing together innovators and thought leaders on April 20.
These are the topics that will be discussed. #UhuruNaUbunifu
As the IMF/World Bank #SpringMeetings2024 unfold, a question emerges: Are African countries too dependent on the IMF? Our latest #infographic delves into the data to address this pressing issue. A #thread
Infographic: buff.ly/3xGYVqu