Sospeter Kansapa (@bright_tz2079) 's Twitter Profile
Sospeter Kansapa

@bright_tz2079

ID: 978196821246914560

calendar_today26-03-2018 09:07:50

145 Tweet

47 Followers

153 Following

Sospeter Kansapa (@bright_tz2079) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Mhe. DC hakika Tunaona namna gani serikali ikiwekeza Kwa Viongozi Vijana Matokeo yake ya kiutendaji yanakuwa na Tija. Mungu Azidi kukupigania Sikumoja Uwe Waziri naona Kabisa Unaweza kuvaa Viatu Vya Mhe. Ummy Mwalimu siku Akizeeka

Sospeter Kansapa (@bright_tz2079) 's Twitter Profile Photo

INASEMEKANA DODOMA PANANUKA RUSHWA (MAHAKAMA, POLISI,UTAPELI WA WAZI ARDHI KIZAZI CHA CDA BADO KIPO LILIVUNJWA JINA TU. KAZI KWENU WAHUSIKA, DODOMA IPENI HESHIMA NA HADHI YAKE MSIKIMBILIE KWENYE MEDIA KUZITUMIA KAMA KICHAKA CHA KUFICHA UOVU MNAOUTENDA, MSAIDIENI MHE. RAIS

Dr. Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Kuna vijana wakipewa madaraka ama wakitajirika basi hubadilisha tembea/sema yao, dharau inatamalaki na hata husahau walikotoka. Katika maisha yangu mafupi kwenye siasa za kitaifa nimewashuhudia wengine hata wakijiona wakubwa kuliko wakubwa zao. Nawasihi wajifunze kwa Luqman!

Sospeter Kansapa (@bright_tz2079) 's Twitter Profile Photo

Sidhani kqma upo sahihi, kila mtanzania anauhuru wa kufanya kile anacho ona kwake ni sahihi pasipo kuathiriwa na sheria za Jamuhuri ya muungano swa tanzania. HAYA NINYI NYOOOTE MLIOMSEMA VIBAYA MWIGULU, Mmeingiza Pesa kiasi gani au kauli zenu zimewaongezea Kipato

Sospeter Kansapa (@bright_tz2079) 's Twitter Profile Photo

Let Him Enjoy Kwa sababu Sidhani kama Kejeli na majungu zinachangia kukuongezea Kipato. watanzaania kwa Sekta ya Majungu ingekuwa ndio Fursa ya Ajira Unemployment Ingekuwa Ni historia kwa Taifa. Hana Hasara Mwenzako Hata akijikomba ni kwaajili ya Familia yake na wanawe

Sospeter Kansapa (@bright_tz2079) 's Twitter Profile Photo

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Hivi Nani Anamfungulia Mlango mwenzake. Acheni kukubali vishawishi Muolewe na Bikla zenu. Hivi Ukikataa vishawishi Utakufa. Mtaendelea kufumuliwa Kama Hamtajielewa

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa ya kifo cha ndugu yetu Dkt. Mengi.Taifa limepoteza mzalendo wa kweli na mfanyabiashara mahiri. Tutamkumbuka kwa mchango wake mkubwa aliyoutoa kwa maendeleo ya taifa letu na moyo wake wa upendo na huruma kusaidia jamii na hasa watu wasiojiweza.

Amatus (@amatus09657771) 's Twitter Profile Photo

Jakaya Kikwete World Health Organization (WHO) Hatuko serious kujali Afya za watu Tuko serious kulinda viwanda vya mabeberu. Mbona Zanzibar hakuna mbu? Tanzania bara tunakwamia wapi? Biashara zote za viwanda vya vyandarua na viwanda vya madawa ni za wakubwa

Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

Wale wa vijigari vya IST (visivyo na hadhi according to Makonda) TUJUANE kidogo 😁😁😭 Ila this guy never ceases to amaze us with his disturbing tones 😭

Sospeter Kansapa (@bright_tz2079) 's Twitter Profile Photo

Its A Right Time To Build and Construct Our Country Economic Infrastructures, It is Not A Time For MAMA'S BOY To Lead Our Coutry, Tunakwama Wapi Kuwa Kama Mataifa Yaliyo Endelea. Our Country is Not a SACOS For The Gang Of POACHERS. MR.PRESIDENT HOLD ON, WE UNDERSTAND YOU Sir.

Its A Right Time To Build and Construct Our Country Economic Infrastructures, It is Not A Time For MAMA'S BOY To Lead Our Coutry, Tunakwama Wapi Kuwa Kama Mataifa Yaliyo Endelea. Our Country is Not a SACOS For The Gang Of POACHERS. 

MR.PRESIDENT HOLD ON, WE UNDERSTAND YOU Sir.
Sospeter Kansapa (@bright_tz2079) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA TANZANIA WE LOVE YOU I real Appreciate the Job done with our Presidents, Julius K. Nyerere, Alhaji Ally H. Mwinyi, Comrade B.W. Mkapa, Comrade Jakaya M. Kikwete. Let us Support our current president Dr. J.P.Magufuli His VISION IS SO POWERFUL TO TANZNAIA FURURE ECONOMY

TANZANIA TANZANIA WE LOVE YOU 
I real Appreciate the Job done with our Presidents, Julius K. Nyerere, Alhaji Ally H. Mwinyi, Comrade B.W. Mkapa, Comrade Jakaya M. Kikwete. Let us Support our current president Dr. J.P.Magufuli His VISION IS SO POWERFUL TO TANZNAIA FURURE ECONOMY
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Spika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa benki ya dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini #MwananchiUpdates

Spika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa benki ya dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini #MwananchiUpdates
Sospeter Kansapa (@bright_tz2079) 's Twitter Profile Photo

Huu ni Uzalendo wa kuigwa, Taifa letu lipo katika hatua ya kupambana na kasuba ya kuukana Utanzania wetu na Usaliti dhidi ya Taifa letu. BONGOZOZO Amekuwa mstari wa mbele kuitangaza Tanzania. Asante sana Mhe. Waziri Kigwangala Kwa Kuutambua Mchango wa Bongozozo, MUNGU AKUBARIKI

Sospeter Kansapa (@bright_tz2079) 's Twitter Profile Photo

Nifedheha inayo umiza juu ya HARAKATI ZA KISALITI anazozifanya Nd. ZITTO dhidi ya Taifa . Najiuliza katika historia ya Taifa letu Hatujawahi shuhudia huduma za kijamii kama Elimu, Afya na maji zikitolewa katika misingi ya ubaguzi wa Kiitikadi ama kidini. Zito Chunga ulimi wako