Amatus (@amatus09657771) 's Twitter Profile
Amatus

@amatus09657771

When things get tough,tough get giong

ID: 1039425403113426945

calendar_today11-09-2018 08:08:22

179 Tweet

57 Followers

306 Following

Amatus (@amatus09657771) 's Twitter Profile Photo

Hivi viongozi wa Dini Jana ikulu ni kweli walienda kwa hiyari Yao au walilazimishwa? Maana Kama ni hiyari Yao Basi niwanafiki Sana!

Amatus (@amatus09657771) 's Twitter Profile Photo

Kigwangala Tatizo la magogo fuatilia,lilianzia hapa Kamata wote waliobariki hiki. Wanaruhusu wenyewe halafu wanakupotosha

Kigwangala Tatizo la magogo fuatilia,lilianzia hapa 
Kamata wote waliobariki hiki.
Wanaruhusu wenyewe halafu wanakupotosha
Amatus (@amatus09657771) 's Twitter Profile Photo

Sijaelewa sarakasi hizi Tuliambiwa wezi wa Dhabu wamekiri na kupigwa Fine ya 500 milioni, Wale Askari tukaambiwa walipewa rushwa ili watoroshe Dhahabu Ghafla wamefutiwa mashtaka🤣🤣🤣 Wa Tanzania sio wajinga kiasi hiki!