nyani (@bigmtoto) 's Twitter Profile
nyani

@bigmtoto

Love every person ❀

ID: 1651952084990803970

calendar_today28-04-2023 14:11:11

6,6K Tweet

277 Followers

20 Following

Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

Mwijaku kwa ku ropoka hajambo πŸ€£πŸ™Œ Hamisa ka ibuka nae tu kiroho safii... Sema hizi mbanga mwijaku hajali .... Video kwa comment πŸ‘‡

Mwijaku kwa ku ropoka hajambo πŸ€£πŸ™Œ

Hamisa ka ibuka nae tu kiroho safii...

Sema hizi mbanga mwijaku hajali ....

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

Nilijua tu hawata jaza..πŸ˜‚πŸ€Œ Tazama uwanja ulivyo na gaps za kutosha mda huu... Yanga πŸ”°πŸ€― Video kwa comment πŸ‘‡

Nilijua tu hawata jaza..πŸ˜‚πŸ€Œ

Tazama uwanja ulivyo na gaps za kutosha mda huu...

Yanga πŸ”°πŸ€―

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

MPOKI Kwenye utalii wa njee Whitehouse AMERICAπŸ‡ΊπŸ‡Έ.. Kwa nini TANZANIA tunazuiwa kupiga picha sehemu maalumu kama hizi ??😬😬😬😬😬😬 Wenzetu mbona fresh Tu ? Video kwa comment πŸ‘‡

MPOKI Kwenye utalii wa njee Whitehouse AMERICAπŸ‡ΊπŸ‡Έ..

Kwa nini TANZANIA tunazuiwa kupiga picha sehemu maalumu kama hizi ??😬😬😬😬😬😬

Wenzetu mbona fresh Tu ?

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

Hapa jichanganye tu.. Eti ukiongea nae Tu lazima umeze Azuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ Ubaya Ubwela Video kwa comment πŸ‘‡

Hapa jichanganye tu..

Eti ukiongea nae Tu lazima umeze Azuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Ubaya Ubwela 

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

Yaani huu ni uhalisia kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ Unapo omba ushauri kuhusu DIET πŸ˜‚πŸ˜¬ Hakunaga majibu sahihi..... Video kwa comment πŸ‘‡

Yaani huu ni uhalisia kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Unapo omba ushauri kuhusu DIET πŸ˜‚πŸ˜¬

Hakunaga majibu sahihi.....

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

Magoma bado yupo na Yanga πŸ”° sambamba ... Eti mambo ya kujuana huenda yame mpitia..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Video kwa comment πŸ‘‡

Magoma bado yupo na Yanga πŸ”° sambamba ...

Eti mambo ya kujuana huenda yame mpitia..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

Nimecheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Leonardo Leo kapita na TUNDARO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sikiliza huo mfumo wa kuchezea hisia zetu... Video kwa comment πŸ‘‡

Nimecheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Leonardo Leo kapita na TUNDARO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sikiliza huo mfumo wa kuchezea hisia zetu...

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

Kocha wa Simba SC Fadlu Davis..... Akiwa na Nahodha wa Simba SC Mohamed Hussein Kuongea na waandishi wa habari kuelekea mechezo wa Derby kesho.... Video kwa comment πŸ‘‡

Kocha wa Simba SC Fadlu Davis.....

Akiwa na Nahodha wa Simba SC Mohamed Hussein

Kuongea na waandishi wa habari kuelekea mechezo wa Derby kesho....

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

Kocha wa Yanga SC πŸ”° Miguel Gamondi... Akisalimiana na kocha wa Simba SC Fadlu Davis 🦁 Video kwa comment πŸ‘‡

Kocha wa Yanga SC πŸ”° Miguel Gamondi...

Akisalimiana na kocha wa Simba SC Fadlu Davis 🦁

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

TRAVISSCOTT akamatwa na polisi ufaransa.... Baada ya kuzi chapa na Body guard wake hotelini Akiwa amelewa Video kwa comment πŸ‘‡

TRAVISSCOTT akamatwa na polisi ufaransa....

Baada ya kuzi chapa na Body guard wake hotelini

Akiwa amelewa 

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

HAYA SASA CHANGA FIGO KUISHI MAISHA MAREFU.... Tafiti zina onesha kuwa wanao changa figo kuishi maisha marefu...🫘 Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Prof. Jinabi Mohamed alisema Leo Kwenye maadhimisho ya world organisation donation Video kwa comment πŸ‘‡

HAYA SASA CHANGA FIGO KUISHI MAISHA MAREFU....

Tafiti zina onesha kuwa wanao changa figo kuishi maisha marefu...🫘

Mkurugenzi Mtendaji  wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Prof. Jinabi Mohamed alisema Leo

Kwenye maadhimisho ya world organisation donation

Video kwa comment πŸ‘‡
Bet Tips (@betslipss) 's Twitter Profile Photo

Cristiano ronaldo ambaye anakaribia kuwa na watumiaji milioni 10 saa 24 tu Baada ya kuzindua chaneli yake ya you tube tayari amepokea kibao cha watu milioni 1 na kuionyesha familia yake kwa fahari. Video kwa comment πŸ‘‡

Cristiano ronaldo ambaye anakaribia kuwa na watumiaji milioni 10 saa 24 tu 

Baada ya kuzindua chaneli yake ya you tube tayari amepokea kibao cha watu milioni 1 na kuionyesha familia yake kwa fahari.

Video kwa comment πŸ‘‡