The Benny
@benson__21
CONTENT CREATOR
ID: 1525488165120770048
14-05-2022 14:48:35
1,1K Tweet
2,2K Takipçi
1,1K Takip Edilen
Hili swaha naomba tulipe uzito wazee waku push SATIVA Maria Sarungi Tsehai Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 John Heche Godbless E.J. Lema tuliweke front tuweze kuwasaidia ndugu zetu.
Nabii nnaeweza kumwamini kwa Sasa ni huyu tu wengine ni Bla bla tu Karatasi nyiiiingii unamaliza miti wanasababisha jangwa. Godbless E.J. Lema John Heche Hilda Newton Maria Sarungi Tsehai SATIVA
Umeongeza mwaka mwingine champion sauti ya watu nguvu ya mungu ishi miaka mingi ikiwezekana uone ukombozi wa nchi uloipigania kwa miaka mingi adi kunusurika na kifo kwa kutekwa. Tupo mwishoni kuwona ukombozi #NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NABII NI Godbless E.J. Lema Wengine ni Bla bla tu mazabauni.
Kesho millardayo atakuja kusema sikukuu ilikuwa naja tuwe makini.