Pallangyo. (@barakaeltereva1) 's Twitter Profile
Pallangyo.

@barakaeltereva1

Christian, husband, father, & patriot.

ID: 878908781874352128

calendar_today25-06-2017 09:32:37

370 Tweet

47 Followers

611 Following

Kabigwa_AfyaπŸ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Jinsi ya Kujikinga na Stroke Stroke inaweza kuzuiwa kwa kuchukua hatua za kiafya mapema. Hapa kuna baadhi ya njia bora za kujikinga: βœ… Dhibiti shinikizo la damu (Pressure): Hakikisha shinikizo lako la damu liko katika kiwango salama (chini ya 120/80 mmHg). βœ… Acha sigara:

Jinsi ya Kujikinga na Stroke

Stroke inaweza kuzuiwa kwa kuchukua hatua za kiafya mapema. 

Hapa kuna baadhi ya njia bora za kujikinga:

βœ… Dhibiti shinikizo la damu (Pressure): Hakikisha shinikizo lako la damu liko katika kiwango salama (chini ya 120/80 mmHg).

βœ… Acha sigara:
Kabigwa_AfyaπŸ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Matibabu ya Stroke na Urejeshaji wa Afya Stroke ni hali ya dharura inayohitaji matibabu ya haraka. Ikiwa mtu anapata stroke: πŸš‘ Mpeleke hospitali haraka: Kadri matibabu yanavyotolewa mapema, ndivyo ubongo una nafasi kubwa ya kupona. πŸ’Š Dawa za kuyeyusha damu (clot-busters):

Kabigwa_AfyaπŸ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Ukweli Usiofahamika Kuhusu Stroke πŸ“Œ Mtu mmoja hufa kutokana na stroke kila sekunde 6 duniani! πŸ“Œ 1 kati ya watu 4 duniani yuko kwenye hatari ya kupata stroke! πŸ“Œ Zaidi ya 80% ya stroke zinaweza kuzuilika kwa mtindo bora wa maisha! πŸ‘‰ Usingoje hadi tatizo litokee! Chukua hatua

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

TUNAKOELEKEA M23 WANAKUWA WANAMAPINDUZI AU GAME CHANGERS HUKO CONGO DRC. Kazi kuu ya Serikali na uhalali wake ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Kulinda amani na sheria. Ukizingatia taarifa za kikundi cha M23 kuweka utawala wa serikali za mitaa na kumteua Mukadisi Niragire

Benjamin Fernandes πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@benji_fernandes) 's Twitter Profile Photo

Kijana wa Kitanzania 1. Akioa/Kuolewa mnamchangia 2. Akifa/Akifiwa mnamchangia 3. #HBD yake ikifika mnamchangia 4. BBY shower ya mtoto wake mnamchangia Lakini Akikosa Mtaji Hakuna wa kumchangiaπŸ‘€

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

A wise man once said: What surprises me most about humankind is that we get bored of our childhood, rush to grow up, and long to be children again. That we lose our health to make money, and then lose our money to restore our health. That by thinking anxiously about the future,

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Kumpa kesi ya uhaini Tundu Lissu ili kumziba mdomo asiseme juu ya " No reforms No Election" ni kujidanganya. Hata asiposema yeye mawe yatasema.

Pallangyo. (@barakaeltereva1) 's Twitter Profile Photo

Worth listening. Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote. We pray for Justice,and may the Lord God creator of Universe hear our prayer.

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Salaam Ndugu Zangu Watanzania, Serikali imepokea taarifa rasmi kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja shughuli za wafanyabiashara wetu wanaosafirisha

Pallangyo. (@barakaeltereva1) 's Twitter Profile Photo

What would you do in an ethical dillema of staying ethical and focused for public sake or betraying the majority for your own sake? May be everyone has a price expect one.