Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile
Baba Mwita

@babamwita

Husband | Father | Lawyer | Human Rights Activist | Democracy | Rule of Law | A People's Servant | An Agent of Change

ID: 3785683097

calendar_today26-09-2015 20:54:09

17,17K Tweet

69,69K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Hivi, ni wapi kwenye Katiba ya CHADEMA panasema, azimio lililopitishwa na Kikao cha ngazi ya JUU kabisa ya Chama, linaweza KUFA endapo tu baadhi ya wanachama watakuja na AZIMIO kinzani, tena kwa kutia saini! Kama mnataka tujadili Katiba ya Chama, basi tuanze na hili...

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

TUELEWANE KWENYE HILI! Huwezi kufanya MAKOSA, tena ya KIMKAKATI, halafu ukatumia vifungu vya Katiba ya Chama kama KIVULI cha kujifichia, au KINGA. Kama unajua HAKI, WAJIBU & SIFA zinazokufanya uwe mwanachama, basi unapaswa pia kuyajua mambo ambayo ukiyafanya, yatakuondolea sifa

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Hakuna askari, hata IGP, mwenye uwezo wa kumkamata Kiongozi Mkuu wa Chama Kikuu cha Upinzani, halafu DPP amfungulie mashtaka ya haraka pasipo MAELEKEZO & RIDHAA ya Rais. Well, nadhani Mungu yuko kazini, tusilalamike sana.

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Kikanuni, mgombea akivunja maadili ya Uchaguzi, anatakiwa kupewa adhabu ya KUSIMAMISHWA asifanye Kampeni kwa muda fulani – mara nyingi huwa ni SIKU SABA. Hakuna sehemu kwenye Sheria au Kanuni yoyote ile ya Uchaguzi nchini inayomesema kwamba, mgombea atapoteza sifa ya kushiriki

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Hakuna Mahakama DUNIANI achilia mbali Tz, yenye MAMLAKA ya kusimamisha shughuli za Chama cha Siasa kutoendelea kwa sababu shughuli hizo zina ULINZI wa Kikatiba. Bunge letu lina NGUVU iitwayo "Parliamentary Sovereignty au Parliamentary Supremacy" inayoweka KINGA dhidi ya MAMLAKA

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Wakili Matojo Cossata amekamatwa Kimara Mwisho akielekea Kisutu kwenye kesi ya Lissu. We are a gangster republic! #FreeTunduLissu

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Mahakama ISIKILIZE Kesi kwa NJIA YA MTANDAO, inatakiwa kuwepo na AMRI ya Mahakama inayotokana na MASHARTI ya Kanuni ya 5(1) (a) (b) na (c) ya “THE JUDICATURE AND APPLICATION OF LAWS (REMOTE PROCEEDINGS AND ELECTRONIC RECORDING) RULES”. Kinyume na hapo, ni USHENZI TU.

Mahakama ISIKILIZE Kesi kwa NJIA YA MTANDAO, inatakiwa kuwepo na AMRI ya Mahakama inayotokana na MASHARTI ya Kanuni ya 5(1) (a) (b) na (c) ya “THE JUDICATURE AND APPLICATION OF LAWS (REMOTE PROCEEDINGS AND ELECTRONIC RECORDING) RULES”. Kinyume na hapo, ni USHENZI TU.
Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya kipolisi imegeuka kuwa kikundi cha MAJAMBAZI! Jeshi linateka, ficha, piga, kuumiza & mpaka kuua raia. Kibaya zaidi, linajiita Jeshi la kulinda usalama wa raia & mali zao. Ila, ukweli uko wazi, askari wa ngazi ya chini hawezi kufanya haya yote pasipo AMRI toka juu.

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Uhalisia ni kwamba, kupitia Jeshi la Polisi, Serikali imesaidia mno kufanya kampeni ya #NoReformsNoElection, ndani & nje ya nchi. Kilichofanyika ni UTHIBITISHO tosha kuwa CHADEMA ilikuwa SAHIHI kuanzisha #NRNE. Mateso haya ni USHINDI kwa wapigania HAKI. Mungu yuko kazini.

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Tuelewane kwenye hili; hakuna sheria inayozuia Viongozi wa madhehebu ya Dini kujihusisha na Siasa. Siasa ni MAISHA ya kila mtu. Unaposema Viongozi wa Dini wasifanye siasa, unawaambia wasitekeleze JUKUMU KUU walilopewa na Mungu la kusimamia utekelezaji wa HAKI. CCM ina wanachama

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa Tundu Lissu ndani ya CHADEMA unaungwa mkono na wananchi walio wengi. Tena wengi mno – walio ndani & nje ya chama. Iweje kundi la walio WACHACHE tu wao ndio hawaelewi AGENDA MPYA za Chama! Tena agenda ambazo wao wenyewe ndio waliozipitisha! Kila kukicha watu hao hao

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Mtuhumiwa anapofanya mazungumzo na Wakili wake, haitakiwi kuwepo mtu mwingine asiyehusika (third party) kusikiliza maongezo hayo. Hasa kwa mtuhumiwa ambaye tayari ana kesi mahakamani, kwa sababu kwa kufanya hivyo kutaruhusu mwenendo wa kesi KUINGILIWA. Under International law,

Mtuhumiwa anapofanya mazungumzo na Wakili wake, haitakiwi kuwepo mtu mwingine asiyehusika (third party) kusikiliza maongezo hayo. Hasa kwa mtuhumiwa ambaye tayari ana kesi mahakamani, kwa sababu kwa kufanya hivyo kutaruhusu mwenendo wa kesi KUINGILIWA. 

Under International law,
Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Fanyeni tu PROPAGANDA dhidi ya CHADEMA ila hiki chama KINASONGA mbele, tena kwa kasi ya ajabu. Kazi ndio kwanza imeanza. Agenda kuu ya Kitaifa kwa sasa ni moja tu: #NoReformsNoElection. Hakuna kurudi nyuma. Tuna imani Mungu yu pamoja na wenye haki. USHINDI uko karibu.

Bureau of African Affairs (@asstsecstateaf) 's Twitter Profile Photo

The United States is deeply concerned by reports of the mistreatment in Tanzania of two East African activists – Ugandan activist Agather Atuhaire and Kenyan activist Boniface Mwangi. Atuhaire was recognized by Department of State in 2024 as an International Women of Courage Awardee. We

Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Haya yanayotokea mjengoni ni 'presha' ya Uchaguzi. Umekaribia & rais ndie anaamua nani agombee wapi na nani arudi kijijini akalime. Katiba za nchi & chama hazina nguvu tena. Hatuna Bunge kwenye hili Taifa. Tuna UKUMBI ambao wachache hukutana na kupeana posho tu.