乔瑟夫 (@axsonmwasaga) 's Twitter Profile
乔瑟夫

@axsonmwasaga

Self employed

ID: 1319342872408301569

calendar_today22-10-2020 18:21:04

6,6K Tweet

3,3K Followers

3,3K Following

Handsome La Kijiji (@manenoizaak) 's Twitter Profile Photo

Mtu mmoja kutoka chama kingine anaona mtu mwingine kutumia uhuru wake kuwa chama kingine ni kosa Mtu huyo huyo baadae analalamika serikali iliyoko madarakani inaminya Demokrasia, Sasa mtu huyu akipata madaraka atakua na utofauti gani na serikali ambayo kila siku anailalamikia?

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia kikomo cha uhalali wake mwezi Oktoba mwaka huu, na hivyo Watanzania wana jukumu la kuunda serikali mpya kupitia uchaguzi. Jana Julai 4, 2025 akihutubia

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa ibara ya 90(4) ya KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, RAIS anaweza KUIITISHA BUNGE ambalo limeshavunjwa, ikiwa tu nchi ipo kwenye HALI YA HATARI. Kwa hiyo, kwa kuwa HAKUNA HALI YA HATARI, RAIS HAWEZI kuiitisha BUNGE kama watu wengine WANAVYOTAKA.👇

Nikiwa na ⁦NTOBI⁩ tukifurahia jambo tulipokuwa USA RIVER katika Jimbo la ARUMERU MASHARIKI, wilayani ARUMERU, leo tarehe 8 Julai 2025.

Nikiwa na ⁦<a href="/Ntobi_/">NTOBI</a>⁩ tukifurahia jambo tulipokuwa USA RIVER katika Jimbo la ARUMERU MASHARIKI, wilayani ARUMERU, leo tarehe 8 Julai 2025.
Yericko Nyerere (@yerickonyereret) 's Twitter Profile Photo

Ok, OFA YA SABASABA Pata ZAWADI ya kitabu cha UJASUSI kwa HARD-COPY kwa 30,000 tu badala ya bei halisi ya 80,000/=. Kwa Dar free Delivery. Nje ya Dar nauli 8,000/=. Wahi Lipia kwa LIPA NAMBA TIGO 7489022 LIPA NAMBA VODA 5352627 (YERICKO NYERERE) CRDB BANK AC No

Ok, OFA YA SABASABA

Pata ZAWADI ya kitabu cha UJASUSI kwa HARD-COPY kwa 30,000 tu badala ya bei halisi ya 80,000/=. 

Kwa Dar free Delivery. Nje ya Dar nauli 8,000/=. 

Wahi Lipia kwa 

LIPA NAMBA TIGO 7489022 
LIPA NAMBA VODA 5352627

(YERICKO NYERERE)

CRDB BANK AC No
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

"Kutofautiana kimaoni si uhalifu. Mtu kuwaza kinyume na unavyowaza wewe si dhambi. Dhambi ni kuamini kuwa unachoamini wewe ndiyo sahihi tu kwamba anayeamini kinyume na wewe basi huyo zawadi yake ni matusi na kumdhalilisha hilo si sawa. Tuheshimiane." - Dkt. Dotto Biteko, Naibu

"Kutofautiana kimaoni si uhalifu. Mtu kuwaza kinyume na unavyowaza wewe si dhambi. Dhambi ni kuamini kuwa unachoamini wewe ndiyo sahihi tu kwamba anayeamini kinyume na wewe basi huyo zawadi yake ni matusi na kumdhalilisha hilo si sawa. Tuheshimiane." - Dkt. Dotto Biteko,  Naibu
Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Mtu PEKEE ambaye ameweza kupeleka “APPLICATION FOR REVISION” katika Mahakama Kuu ya Tanzania, KUPINGA mwenendo wa KESI inayoendelea Mahakama ya KISUTU, na AKASHINDA, ni PETER MADELEKA. Leo pia Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam IMETHIBITISHA tena.😂😂

Kutokana na MAOMBI ya wadau WENGI wa HAKI JINAI, napenda kuufahamisha UMMA kwamba; NIMEKUBALI kutoa SEMINA kuhusu MATUMIZI SAHIHI ya vifungu vya 372(1) na (2) vya SHERIA ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA). Semina hiyo itafanyika uwanja wa BENJAMINI MKAPA. Tarehe itatangazwa.

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndio HERO wenu leo! 😂😂😂 Alipigwa RISASI 16 Lissu na Humphrey alikaa kimya! Hata kwenda KUMTEMBELEA Lissu alishindwa. Leo huyu ndio “HERO WENU”, maana kasema yeye ni MPENDA HAKI ZA BINDAMU! Political opportunism is so unattractive!

Huyu ndio HERO wenu leo!
😂😂😂
Alipigwa RISASI 16 Lissu na Humphrey alikaa kimya!
Hata kwenda KUMTEMBELEA Lissu alishindwa.

Leo huyu ndio “HERO WENU”, maana kasema yeye ni MPENDA HAKI ZA BINDAMU!

Political opportunism is so unattractive!
Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Kesi ya RUFAA YA JINAI kati ya kijana HASHIM ALLY dhidi ya PAULINE PHILIPO GEKUL itasikilizwa katika MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA itakayoketi ARUSHA, muda wowote kuanzia sasa. Wapigania HAKI wote MNAKARIBISHWA.