Stan 🇹🇿 (@stan_jax) 's Twitter Profile
Stan 🇹🇿

@stan_jax

@SimbaSCTanzania | @ManUtd | @Realmadrid

ID: 2843728450

calendar_today25-10-2014 13:56:46

24,24K Tweet

5,5K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Dazzy Elly (@asajiledaniel) 's Twitter Profile Photo

Na ukijikuta katikati ya penzi zito basi sio kila vita kati yenu inabidi uipigane,kuna vitu unaviacha viende tu,muhim havibomoi wala kukushushia heshima. Huwezi shinda vita yako mwenyewe,ukishinda unapunguza kitu. Mengi yalivunjika kisa kutaka kuwa sahihi kila mara. Gm fam.

GRINGO018🎨🖌️ (@018salama) 's Twitter Profile Photo

On this day, tumshukuru Mungu kwa kutuamsha na kutupa afya njema Kabisa kwani Kuna ambao hawakuweza kusimana kwakua wanaumwa na wengine hawakuweza kuamka kwakua hawakuamka kabisa. "Tumuombe azidi kutupa afya njema na kutuongoza katika kila tunalofanya hili tuyafikie malengo

MUDI FOOD FACTORY (@mudimabiriani) 's Twitter Profile Photo

Amka nenda kafungue Radio ya Familia, piga ngoma za kizungu tu hasa zile "Country" Sauti isiwe chini ya 85% mkuu, mara moja moja ashumu hapo ni kwako, Fanya maamuzi unayotaka wewe Mkuu..😅 Jobless tuukatae unyonge🤝🏽

STUNNA (@cavitydamas23) 's Twitter Profile Photo

Jifunze kuheshimu wanawake wote bila kujari, Unapomdharau mwanamke ni sawa unamdharau mama ako kwa sababu ata yeye n mwanamke pia

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

The only person you should ADMIRE Ni mtu wa kutopenda kubadili wanawake Ukiingia kwenye kubadili badili wanawake ni shida. The shit is addictive & you lose interest in building a healthy relationship with one woman Having options will be the end of me, mmoja akiniacha natafta

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Majengo ya mji mpya wa Serikali wa Egypt uliopo Cairo. Ukikamilika utabeba watu Milioni 7. Una ofisi za Serikali, viwanja vya michezo, makazi ya watu, jumla ya misikiti na makanisa 1250, mito na maziwa ya kutengenezwa, vituo vya kukuza Teknolojia, sayansi nakadhalika.

Baadhi ya Majengo ya mji mpya wa Serikali wa Egypt uliopo Cairo. Ukikamilika utabeba watu Milioni 7. Una ofisi za Serikali, viwanja vya michezo, makazi ya watu, jumla ya misikiti na makanisa 1250, mito na maziwa ya kutengenezwa, vituo vya kukuza Teknolojia, sayansi nakadhalika.