Deo Haule. (@deohaule27) 's Twitter Profile
Deo Haule.

@deohaule27

#GOD over everything. Biotechnologist ๐Ÿงฌ | Educator| Realistic| Trader.
Arsenal & Young Africans fan.

ID: 561344810

calendar_today23-04-2012 18:00:16

5,5K Tweet

12,12K Takipรงi

9,9K Takip Edilen

โ—‹๐—™๐—™๐—œ๐—–๐—œ๐—”๐—Ÿ๐—งโ—‹๐— ๐— ๐—ฃ๐—”๐—ก๐—ง๐—›๐—˜๐—ฅ โ˜ช (@1tommpanther) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ’๐Š ๐€๐Œ๐€๐™๐ˆ๐๐† ๐‹๐Ž๐‚๐Š ๐’๐‚๐‘๐„๐„๐ | ๐‡๐Ž๐Œ๐„ ๐’๐‚๐‘๐„๐„๐ ๐–๐€๐‹๐‹๐๐€๐๐„๐‘ ๐“๐‡๐‘๐„๐€๐ƒ ๐‹๐„๐“'๐’ ๐†๐Ž

๐Ÿ’๐Š ๐€๐Œ๐€๐™๐ˆ๐๐† ๐‹๐Ž๐‚๐Š ๐’๐‚๐‘๐„๐„๐ | ๐‡๐Ž๐Œ๐„ ๐’๐‚๐‘๐„๐„๐ ๐–๐€๐‹๐‹๐๐€๐๐„๐‘

๐“๐‡๐‘๐„๐€๐ƒ

๐‹๐„๐“'๐’ ๐†๐Ž
Glatus (@gadikivike) 's Twitter Profile Photo

Ukipata nafasi ya kusali sali sanaa ombea shughuli zako za kujipatia kipato vita ya umasikini haijawahi kuwa nyepesi...๐Ÿ‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Good morning familia.

Mtonda Jr๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mtondaabdallah) 's Twitter Profile Photo

Good Morning. Kila jua linapochomoza, linakuja na ujumbe mmoja rahisi bado una nafasi. Nafasi ya kubadilisha maisha yako, kuboresha ndoto zako, na kuandika historia yako upya. Usikae kusubiri bahati, tengeneza bahati yako mwenyewe.

sonnia๐ŸŒน (@femdysaidi) 's Twitter Profile Photo

Ahsante Mungu kwa asubuhi nyingine tena, leo Tukumbushe kuwa tukiwa hatuogopi kupoteza chochote tunaweza poteza kila kitu. Good morning๐Ÿ–

Waziri Wa Wapwa Og (@_rwanda_adamog) 's Twitter Profile Photo

"Dunia haina kumbukumbu kama iliwahi kukufunza ukikosea itakufunza tena tu" โœ๏ธโœ๏ธ Good Morning ChampionsโœŒ๏ธ.

โ—‹๐—™๐—™๐—œ๐—–๐—œ๐—”๐—Ÿ๐—งโ—‹๐— ๐— ๐—ฃ๐—”๐—ก๐—ง๐—›๐—˜๐—ฅ โ˜ช (@1tommpanther) 's Twitter Profile Photo

๐‹๐Ž๐‚๐Š ๐’๐‚๐‘๐„๐„๐ | ๐‡๐Ž๐Œ๐„ ๐’๐‚๐‘๐„๐„๐ ๐–๐€๐‹๐‹๐๐€๐๐„๐‘ ๐“๐‡๐‘๐„๐€๐ƒ ๐‹๐„๐“'๐’ ๐†๐Ž

๐‹๐Ž๐‚๐Š ๐’๐‚๐‘๐„๐„๐ | ๐‡๐Ž๐Œ๐„ ๐’๐‚๐‘๐„๐„๐ ๐–๐€๐‹๐‹๐๐€๐๐„๐‘

๐“๐‡๐‘๐„๐€๐ƒ

๐‹๐„๐“'๐’ ๐†๐Ž
Fundi mshona viatu (@mshonaviatu) 's Twitter Profile Photo

Muda si adui wa mwanadamu bali ni kioo kizuri kinachoonesha kile kilichokuwa dhaifu kwako tangu mwanzo Good morning wasakatonge wenzangu

Fundi mshona viatu (@mshonaviatu) 's Twitter Profile Photo

Hofu na imani ndo vitu ambavyo vinakutaka uamini kile kitu ambacho huwezi kukiona wala kukichagua Tuanze na Mungu kwanza ๐Ÿ™๐Ÿฟ

Hofu na imani ndo vitu ambavyo vinakutaka uamini kile kitu ambacho huwezi kukiona wala kukichagua 

Tuanze na Mungu kwanza ๐Ÿ™๐Ÿฟ
Jino Ukucha (@jinoukucha) 's Twitter Profile Photo

Mtaani kwangu watu wanaondoka sana aise, haipiti siku tatu watu wameshafunga tulubai ukifuatilia ni age yetu kabisa๐Ÿ˜ญ oyaaa tusiache kujuliana khari wakuu wengine tutaenda kmy kmy na hamto jua๐Ÿ’”. Kumekucha ๐Ÿ™

MUDI FOOD FACTORY (@mudimabiriani) 's Twitter Profile Photo

Hivi ni kwanini mtu akishaajiriwa Serikalini inakuwa ngumu sana kuacha kazi na kufanya mambo mengine kabla ya ule muda wa kustaafu.?

Mnigajia (@nicomwaih) 's Twitter Profile Photo

Mshirikishe Mungu katika harakati zako lazima zitajipa kwa wakati wa Mungu Na usisahau kusaidia wenye uhitaji pia. Good morning ๐Ÿ™

Deo Haule. (@deohaule27) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni kama bahari wakati mwingine shwari, wakati mwingine dhoruba. Lakini hata katika dhoruba, kuna fursa ya kujifunza kuogelea au kujenga meli bora. Good morning familia.