irene (@irene4803) 's Twitter Profile
irene

@irene4803

Glory belongs to God ๐Ÿ€๐ŸŒฟ๐ŸŒฟ

Yanga bigwa ๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’š

ID: 1788973411802210304

calendar_today10-05-2024 16:45:15

2,2K Tweet

1,1K Takipรงi

889 Takip Edilen

Being 6 ๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰๐ŸŒก๏ธ๐Ÿฉบ (@tinaarys) 's Twitter Profile Photo

Mungu wa Mbinguni awabariki kwa mema yote mnayoyafanya kwa watu/ wateja wenu,kwa wahitaji,ndugu, aidha kuishi/ kufanya kazi kwa weledi,unyenyekevu kwa mujibu wa amri aliyotuachia Yesu Kristu kuwa tutende matendo ya huruma,na muwe na usiku mwema ๐Ÿ˜ด ๐Ÿ’ค

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Hii ajali imetokea leo saa 11 jioni na hii gari ya Mbunge wa Moshi Mjini Ibrahim Mohamed Shayo. Ajali imetokea maeneo ya Kirinjiko, Kwenye hii gari alikuwepo Dereva, Mbunge na katibu wake Hakuna vifo wala majeruhi, chanzo ni kupasuka Tyre mbele gari ikapoteza mwelekeo ITV NEWS

Hii ajali imetokea leo saa 11 jioni na hii gari ya Mbunge wa Moshi Mjini Ibrahim Mohamed Shayo.

Ajali imetokea maeneo ya Kirinjiko, Kwenye hii gari alikuwepo Dereva, Mbunge na katibu wake

Hakuna vifo wala majeruhi, chanzo ni kupasuka Tyre mbele gari ikapoteza mwelekeo

ITV NEWS
Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Ramadhani ni reminder kwamba maisha sio kuhusu kula, kulala, na ku-hustle tu. Kuna dimension nyingine ya maisha inaitwa spirituality, na wengi tunaigundua tu pale tunaponyimwa vitu vya kawaida.

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Kipindi cha Mfungo wa Ramadhani kama hiki tembelea sehemu za Pwani kama Tanga, Mtwara, Lindi, tembea kisiwa cha Mafia, Mombasa uone futari za hatari. Watu wanapika Futari sio mchezo. Hiyo Mafia kuna sehemu kunaitwa Marimbani ni hatari wale wanawake wanapika mno ๐Ÿ™Œ

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Dar jua ni kali sana Mungu awatie nguvu wote wanaofunga alafu shughuli zao lazima apigwe na jua ili maisha yaende. Sio mchezo

bravoo_punchlineking (@bravoconscious) 's Twitter Profile Photo

Karibu kusikiliza wimbo Mpya โ€œCHUKI โ€œ Performed By @bubo_gepra , @tommythomas_tz ft @niitesonga , Passo & Dien ๐Ÿ‘‡๐Ÿป li.sten.to/chuki Produced by Ringle Beatz Mixed by : S.M.G Studio : BabylonSoundz