Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@msakufarm) 's Twitter Profile
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@msakufarm

New Generation Farmer and Agronomist, feel free to inbox us if you have any questions on farming.
WhatsApp wa.me/+255767337029

ID: 1387722119702884353

calendar_today29-04-2021 10:56:11

35,35K Tweet

10,10K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

80% ya vitunguu saumu duniani kote vinalimwa China. Huzalisha zaidi ya tani milioni 26.5. Ukiachana na sababu za kuongeza ladha kwenye chakula wao hulima sana kutokana na faida zake kiafya. Wako Kigwa Aveki

80% ya vitunguu saumu duniani kote vinalimwa China.  Huzalisha zaidi ya tani milioni 26.5. Ukiachana na sababu za kuongeza ladha kwenye chakula wao hulima sana kutokana na faida zake kiafya.

Wako <a href="/AvekiKigwa/">Kigwa Aveki</a>
Horticulturist Iddi Haridi - owner Zalk Ltd&Mwefa (@iharidi) 's Twitter Profile Photo

Hii ni jinsi ya kupima mnyauko Bacteria Husambazwa kwa maji,kuhamisha udongo/miche/mbegu,vifaa vya shambani Kinga:epuka yanayosambaza Suluhisho:punguza matumizi ya nitrate-mmea laini hushambuliwa kirahisi,ongeza matumizi ya sumu zenye Alluminium,tumia mbegu zinazovumilia/grafted

Horticulturist Iddi Haridi - owner Zalk Ltd&Mwefa (@iharidi) 's Twitter Profile Photo

Kumbukumbu mujarabu. Hii ni mwaka 2016/2017 nikiwa kwenye mafunzo chini ya kaka AGR. Boniphace Mwanje ,elimu inatafutwa sana na kamwe usiruke hatua ya kuisaka elimu kwani kuna muda utafika hutoweza kuipata tena,leo hii naitumia. Hawa wakuu Muumba awaweke sana In Sha Allah ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿซก

Kumbukumbu mujarabu.
Hii ni mwaka 2016/2017 nikiwa kwenye mafunzo chini ya kaka <a href="/Pembejeo_Agric/">AGR. Boniphace Mwanje</a> ,elimu inatafutwa sana na kamwe usiruke hatua ya kuisaka elimu kwani kuna muda utafika hutoweza kuipata tena,leo hii naitumia.
Hawa wakuu Muumba awaweke sana In Sha Allah ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿซก
AGR. Boniphace Mwanje (@pembejeo_agric) 's Twitter Profile Photo

Aiseee, nashukuru sana Mdogo angu Horticulturist Iddi Haridi - owner Zalk Ltd&Mwefa kwa hii Kumbukumbu. Hapa ilikuwa inapigwa shule ya PESTICIDES kwa Ujumla (Insecticides, Fungicides, Herbicides, Treaters/Dressers) etc.. Hakika Eng Octavian Lasway Industry tumeijengaโ€ฆ Asante Sana Horticulturist Iddi Haridi - owner Zalk Ltd&Mwefa

Horticulturist Iddi Haridi - owner Zalk Ltd&Mwefa (@iharidi) 's Twitter Profile Photo

AGR. Boniphace Mwanje Eng Octavian Lasway Ahsante sana hili darasa product iliyotoka humu wote wamoto huko waliko,kila mmoja hapo yuko sehemu ๐Ÿซก๐Ÿซก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@msakufarm) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wana BIG PICTURE kwenye kilimo nini Wanataka Kutimiza Kwenye safari yao Ila Hawana Maarifa na taarifa za Kuwafikisha Huko. Karibuni Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tuweze kuwaongoza kwenye safari yenu ya kilimo biashara.