James (@mengo_james) 's Twitter Profile
James

@mengo_james

Agriculture Specialist|| Father|| Yanga Fc|| Man UTD Fans

ID: 2417881528

calendar_today17-03-2014 15:45:09

4,4K Tweet

143 Takipรงi

347 Takip Edilen

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Dunia inamtaka TUNDU LISSU. Msikilize Mke wake MH. TUNDU LISSU unaweza kulia.๐Ÿ’” REPOST IWAFIKIE WAKOLONI WEUSI. Usiasahu 19.5.2025 wote wapenda HAKI tunakutana KISUTU. REPOST 500 #FreeTunduLissu #TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž

MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Nalaani hatua ya Serikali kumzuia Mwanasheria Martha Karua SC pamoja na mawakili wengine wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki kuingia nchini kwa ajili ya kesi ya Tundu Antiphas Lissu . Niko njiani kurejea Dar Es Salaam kwa ajili ya kesi. Rais Samia Suluhu suluhisho ya kuficha aibu

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Hiki alichokifanya Maria Sarungi Tsehai ni Ku raise Global Awareness yaan tunaweza kua tunahoja nzuri lakini watu hawajui nn kinatokea nchini. Alichokifanya ni kupeleka at Global level na ame deliver to the fullest. Naomba msiaidie kumpa Repost za kutosha. Thanks Oslo Freedom Forum (OFF) Repost

Hiki alichokifanya <a href="/MariaSTsehai/">Maria Sarungi Tsehai</a> ni Ku raise Global Awareness yaan tunaweza kua tunahoja nzuri lakini watu hawajui nn kinatokea nchini. Alichokifanya ni kupeleka at Global level na ame deliver to the fullest. 
Naomba msiaidie kumpa Repost za kutosha.  

Thanks <a href="/OsloFF/">Oslo Freedom Forum (OFF)</a> 
Repost
Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Mapema mchana wa leo Mei 27, 2025 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. John Heche akisalimia wananchi wa Mamsera, Jimbo la Rombo Mkoa wa Kilimanjaro waliposimamisha msafara wake uliokuwa unaelekea Tarakea kwaajili ya mkutano wa jioni. #NoReformsNoElection

Mapema mchana wa  leo Mei 27, 2025 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> akisalimia wananchi wa Mamsera, Jimbo la Rombo Mkoa wa Kilimanjaro waliposimamisha msafara wake uliokuwa unaelekea Tarakea kwaajili ya mkutano wa jioni.

#NoReformsNoElection
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Baada ya mapumziko, CHADEMA tumerudi mzigoni. Kata ya Mamsera, Jimbo la Rombo, Kilimanjaro. Makamu Mwenyekiti John Heche amekiamsha. Kazi ni moja tu. Kupeleka moto kwa MaCCM. Hii inaitwa โ€˜IGA UFE AU JARIBU UFILISIKEโ€™ #NoReformsNoElection #TunduLissuSioMhaini

Cyancute โญ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Ukiona mtu amepost hili neno haijalishi mna ugomvi au chuki wewe Repost ...Repost ๐Ÿคž Tumeamua njia hi nisahihi sisi kupata madiliko ujumbe ufike Repost ๐Ÿ™Œ

Ukiona mtu amepost hili neno haijalishi mna ugomvi au chuki wewe Repost ...Repost ๐Ÿคž 

Tumeamua njia hi nisahihi sisi kupata madiliko ujumbe ufike 

Repost ๐Ÿ™Œ