Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profileg
Godbless E.J. Lema

@godbless_lema

Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee
Former MP Arusha Urban (2010 -2020),
Shadow Minister Home Affairs,
Husband and Father

ID:845272399381778432

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/Godbless_Lema calendar_today24-03-2017 13:53:39

8,3K تغريدات

1,0M متابعون

981 التالية

(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Mtu anaumiza kundi lote hili halafu kuna jamaa wana ujasiri wa kusema “mumkosoe bila chuki.”

Kuna chuki zaidi ya hii? Nendeni kawahubirieni hawa wamasai upendo muone kama watawaelewa.

Samia ni katili na ataitwa kwa majina yake bila kupepesa macho.

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Tengenezeni maeneo ya mazoezi kwenye kila Kata na mtazame kama ni mpango maalumu wa kuzuia maradhi yatokanayo na uzembe na ili kupunguza gharama kubwa za matibabu kwa magonjwa yasiyo ambukiza.Zingatieni na anzisheni masomo ya PE study na Lishe bora mashuleni kama masomo muhimu…

Ukitafakari kwa kina kabisa utagundua kuwa kuna aina mbili ya wapagani siku hizi.Mosi,ni wale ambao hawamwamini kabisa Mungu na wala hawajui habari ya uwepo wake. Na Pili,ni wale wanaoenda ibadani kila inapokuwa siku ya ibada huku matendo yao yakienda kinyume kabisa na matendo…

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨🚨 ‼️🚨
Tukae humu 👇🏾SIKILIZA‼️

Tundu Antiphas Lissu has revealed that there is a cartel of sugar orchestrated from the top leadership! He is happy to give names 😃
Hint: even religious leaders have sugar import licences 🧐

Juzi nilifanya utafiti usio rasmi wa bei ya sukari…

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Nilipita Ocean Road Hospital siku moja, nikakuta wagonjwa wako kwenye hali mbaya sana.Mungu anatazama rehema kuliko sadaka.Natoa ushauri tu.

Nilipita Ocean Road Hospital siku moja, nikakuta wagonjwa wako kwenye hali mbaya sana.Mungu anatazama rehema kuliko sadaka.Natoa ushauri tu.
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Huu Ujinga tunaoruhusu Airport utatu cost sana

Ina maana hakuna camera kufuatilia mambo ya kipuuzi kama haya mpaka yanafanyika?

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hili tatizo la kuvuja kwa maji nililiripoti IDARA ya MAJI hapa Arusha Mjini kama miezi mitatu imepita sasa,kuna uzembe mkubwa hapa Mamlaka ya Idara ya Maji Arusha.Hawajali kabisa wala kuzingatia ubora na gharama zinazopotea kwa maji kuvuja na uharibifu mwingine.Inasikitisha…

account_circle