
Ezzo
@erickgalus
harakatiii
ID: 1418996878780342277
24-07-2021 18:11:10
337 Tweet
207 Takipçi
541 Takip Edilen









Peter Patience Kibatala, Peter Kibatala kuhusu yaliyojiri katika kesi ya Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob, Boniface Jacob leo mahakamani.





Hii ni damu ya Mdude Nyagali baada ya makazi yake huko Iwambi, Mbeya kuvamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi. Walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.



Hakuna Raia Anayeweza KUMTEKA MDUDE Boniface Mwabukusi #FreeMdude

