Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile
Boniface Mwabukusi

@mwabuk2boniface

Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 President Tanganyika Law Society 2024-27

ID: 1611320551393329153

calendar_today06-01-2023 11:15:51

2,2K Tweet

53,53K Followers

7,7K Following

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

.HATUKO SALAMA ? Nimepokea habari Usiku huu kwamba Jeshi la polisi Mbeya limefika nyumbani kwa Mdude Mpaluka Nyagali . Baada ya kufika wamevunja mlango na kuingia ndani na kumpiga wa kitumia vitu mbalimbali na kumjeruhi na baadaye kuondoka naye. Huu ni muendelezo wa kukithiri