
Martin Maranja Masese
@iamartin_
Full-time Father | Sperm That Won The Race | Public Spirited | Think Deep, Don’t Sink | Cogito, ergo sum |
ID: 126657061
26-03-2010 15:32:42
148,148K Tweet
590,590K Followers
1,1K Following

Hii ni damu ya Mdude Nyagali baada ya makazi yake huko Iwambi, Mbeya kuvamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi. Walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.