Buddy Man Wailer 2012๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น (@buddy_wailer) 's Twitter Profile
Buddy Man Wailer 2012๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น

@buddy_wailer

ID: 558617734

calendar_today20-04-2012 13:00:23

16,16K Tweet

572 Takipรงi

404 Takip Edilen

Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Fumbo Khan Hakuna kuchochea ila tupo hapo kwa sasa. Hivi unajua watu wanasusiana misiba? Hivi umesahau tumefika mbali mpaka mtu akifariki wa upande fulani watu wanashangilia? Tupo pabaya kwa sababu tumekubali kutenganishwa na itikadi za kisiasa hatupo pamoja tena kama zamani

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Joshua Mutale ambaye alikiwasha sana hapa akizungumzia mchezo ulivyokuwa. Kuangalia mahojiano kamili ingia Simba App au YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja

Rastafarian culture (@ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara ya kwanza Nami nimebahatisha kumuacha Mtu siku zote mi ndio huwa naachwa ๐Ÿ˜‚Nami nimemuotea Mtu njooni nafanya sherehe kongowe

Ally (@allysaid434381) 's Twitter Profile Photo

Hilda Newton Mpumbavu pekee ndo atakubali kulingawa taifa kwa misingi ya dini,,,,dini yoyote itakayosimama upande wa haki tutasimama nayo,,,,hata ambao hawana dini Kama watasimama kwenye haki tutakuwa pamoja,,,,

TRUST ME BRO (@mwenyekit_i) 's Twitter Profile Photo

Formula ni nyepesi; 1. Unasupport wauaji = block 2. Unamock dini za watu = block 3. Unapush reli za hovyo = block 4. Unabeza jitihada za wasema ukweli = block 5. Unasupport wanaosupport wauaji including wasanii = block 6. Una element za uchawa = block

Rugemeleza Nshala (@rugemeleza) 's Twitter Profile Photo

Mnamo tarehe 15 Desemba 1995 niliapishwa na Jaji Mkuu, Francis Nyalali, kuwa Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mahakama za chini yake isipokuwa Mahakama ya Mwanzo. Leo imetimia miaka 30. Ninasema Asante kwa Mungu Mwenyezi kwa Baraka na ulinzi wake kuweza kufanya kazi hii.

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Wakili Dkt. Rugemeleza Nshallaโ€”> HONGERA. Miaka 30 tangu kuapishwa kuwa Wakili (15.12.1995โ€“2025)! (2019โ€“2021). U mwanzilishi mwenza wa LEAT, msomi wa Sheria wa Harvard, mtetezi shupavu wa haki za binadamu, utawala wa sheria na kuhifadhi mazingira, na kwa sasa Mwanasheria Mkuu wa

Wakili Dkt. Rugemeleza Nshallaโ€”> HONGERA. Miaka 30 tangu kuapishwa kuwa Wakili (15.12.1995โ€“2025)! (2019โ€“2021). U mwanzilishi mwenza wa LEAT, msomi wa Sheria wa Harvard, mtetezi shupavu wa haki za binadamu, utawala wa sheria na kuhifadhi mazingira, na kwa sasa Mwanasheria Mkuu wa
Rugemeleza Nshala (@rugemeleza) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Mama Mdogo. Sifa na utukufu ni kwa Mungu Wetu Mwema. Asante sana kwako kwa ufadhili usio na kipimo. Mungu Wetu Mwema Azidi Kukubariki.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Korea Kusini imemhukumu kifungo cha miaka Mitano jela, Rais mstaafu wa nchi hiyo. Miongoni mwa makosa aliyokutwa nayo Yoon Suk Yeol ni pamoja na kujaribu kuzuia kukamatwa kwake na vyombo vya dola wakati alipokuwa Rais.