
Mwaitenda Ahobokile
@amwaitenda2020
CHARTERED ACCOUNTANT (ACCA-UK ), FINANCIAL /ECONOMIC CONSULTANT AND A REGISTERED TAX CONSULTANT IN TANZANIA
ID: 1265948867591372802
28-05-2020 10:12:07
459 Tweet
2,2K Followers
138 Following



Ahsante sana kamanda John Heche Nilipokuomba ugombee Makamu Mwenyekiti Taifa nilikwambia nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu "SITUATION ANALYSIS"ndani (SWOT) na nje ya chama (PEST analysis)Hotuba yako leo inatoa mwelekeo mpya wa chama namimi nitawasaidia SECRETARIAT OVERHAUL💪✌️


Tulipowaambia kuwa CHAMA ni taasisi ya watu na sio u-taasisi wa mtu hawakutuelewa, sasa taratibu MACHAWA walotufikisha hapa hawaamini macho yao!!Tunawaambia bado siku 10 tu kumaliza kazi ya kuirudisha taasisi kwenye misingi ya kuanzishwa kwake John Heche #GOING BACK TO THE ROOTS#


Mdogo wangu Wenje acha kumdhalilisha Mwenyekiti Freeman Mbowe yaani unaaminisha umma kuwa alitoa ruhusa ya JOIN THE CHAIN na alipotoka gerezani alishiriki operation hiyo ili apinduliwe? Inakuaje mjumbe wa kamati kuu hujui hela hukusanywa kwenye akaunti za Chama na sio ya Lema??


Huyu kijana Twaha Mwaipaya amekipambania chama na kutumia account zake binafsi mitandaoni kutangaza chama baada ya secretariat kushindwa kazi ! Pia ametetea wanyonge nchi nzima mpaka kutembelea magereza kusaidia wafungwa lkn ajabu kamati kuu haijatoa sababu za kumkata MNYIKA John John






Mh. Waziri wa nishati Dkt. Doto Biteko watanzania tuelezwe manufaa ya kuandaa mkutano wa nishati 'eti' kuwapatia watanzania milioni 8 wkt Tanesco ina umeme wa ziada 1200MW?Kwann hela mlizotumia mkutano msisambaze umeme kila kijiji badala ya kuharibu ratiba za kujipatia kipato kwa siku 2?


Also Hon.Minister Dkt. Doto Biteko help us with data what have we achieved as a country on small regional declarations like MAPUTO DECLARATION ON AGRICULTURE that makes you think we will achieve AFRICAN MISSION 300 ON ENERGY??🤔 There are 5 ommited facts on your AMBITIOUS 5 YEAR PLAN 👇



