Adam Makongoro (@amako253) 's Twitter Profile
Adam Makongoro

@amako253

ID: 289219159

calendar_today28-04-2011 07:23:46

43 Tweet

100 Followers

597 Following

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Hii Tweet ni kwa WAMBEYA WOTE wanaotaka kujuwa Chama changu cha SIASA - kinaitwa “NONE OF YOUR BUSINESS” na hakijasajiliwa na Francis Mutungi. Rangi zake ni #88Nyeupe na Dira yake ni #TumeHuruYaUchaguzi Nadhani Tumeelewana. Nawatakia WAMBEYA wote siku NJEMA! 🤣

Hii Tweet ni kwa WAMBEYA WOTE wanaotaka kujuwa Chama changu cha SIASA - kinaitwa “NONE OF YOUR BUSINESS” na hakijasajiliwa na Francis Mutungi. Rangi zake ni #88Nyeupe na Dira yake ni #TumeHuruYaUchaguzi 
Nadhani Tumeelewana. Nawatakia WAMBEYA wote siku NJEMA! 🤣
fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

#Tanzania Electoral Commission has disqualified 7/50 ACT candidates from running in #Zanzibar ACT STRONGHOLDS. Paving the way for a 2/3 CCM parliamentary majority to amend the Constitution to allow Magufuli to run indefinitely. It’s a sad day as no good can come out of this.

Mwanaharakati (@mwanaharakati__) 's Twitter Profile Photo

Vijana wa CCM wanatishia kuwa wengi sasa Mitandaoni, na kwamba Wana influence kubwa kwenye jamii. Sasa tuwaonyeshe CHADEMA ni Babalao. Retweet kwa CHADEMA na like kwa CCM Retweet. Like

Vijana wa CCM wanatishia kuwa wengi sasa Mitandaoni, na kwamba Wana influence kubwa kwenye jamii. Sasa tuwaonyeshe CHADEMA ni Babalao. Retweet kwa CHADEMA na like kwa CCM

Retweet.                       Like
Adam Makongoro (@amako253) 's Twitter Profile Photo

“Updates Toka Mahakamani CRDB 01J1080100600 | 0744 446 969.“ with Twaha Mwaipaya, Rommy Mbaraka, Khadija Mwago, Eva Shayo, Mhere Kichere, Liberatus Mwang'ombe, Rose Mayemba, zeus. Today at 09:00 on Clubhouse! clubhouse.com/event/M8Y0ka5a

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Wakatoliki tunaamini Safina ya Nuhu (Noah Ark) safari yake ya mwisho ni katika milima ya Ararat, Uturuki (Mwanzo 8:4), "Mnamo siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua juu ya milima ya Ararati" Hii safina ya Nuhu ambayo Rais Samia anasema iliishia Tanzania ni ipi tena?

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

#MTANZANIA Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imefanya ukaguzi wa mwisho kujiridhisha na kuruhusu kituo cha Radio 5 kurudi hewani kesho.

#MTANZANIA Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imefanya ukaguzi wa mwisho kujiridhisha na kuruhusu kituo cha Radio 5 kurudi hewani kesho.