
Alvin Makini
@alvinmakini
ID: 1498324642238550025
28-02-2022 15:50:42
13,13K Tweet
181 Followers
294 Following




Naona mnataka kumtisha Bishop Gwajima kwa kumwita polisi?! Sasa mmemwitia nini? Kwa kumtolea mfano Abduli!? Acheni upumbavu Chama Cha Mapinduzi - midume mizima mnamwogopa Bi Kizimkazi? ๐ Yaani ingawa Gwajima ana mapungufu yake ila kaonyesha uzalendo na ujasiri kuliko midume yote




Mamsera Rombo.. wananchi wampiga STOP makamu mwenyekiti John Heche Hii ni kabla ya kufika kwenye mkutano wa jioni No MPUUZI can stop CHADEMA


Makamu Mwenyekiti John Heche akiwasalimia wananchi wa Mamsera Wilayani Rombo. Habari ni moja tu, NO REFORMS NO ELECTION.








Alinur Mohamed Wakenya wamepata namba ya Samia mpk yenye whatsup hao jamaa wameshindikana


