MCHECHEMUZI (@advo_kelvin) 's Twitter Profile
MCHECHEMUZI

@advo_kelvin

Curious guy! Veteran Certified to Teach Special Needs & Elementary Education. Creator of Pestallozi inc forum. Books & Magazine distributor.🌎♻️🌏

ID: 1269241720950206464

calendar_today06-06-2020 12:17:11

148 Tweet

31 Followers

159 Following

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Ukiweza kuwa mtu wa faragha kwa kiwango ambacho ukisikia mtu anajua jambo fulani kukuhusu hupati shida kujua kaambiwa na nani unaweza kuishi maisha yenye utoshelevu sana. Utoshelevu hauletwi na idadi kubwa ya watu mnaofahamiana bali marafiki wachache mnaoaminiana na kuegemeana.

Prof. Mohamed Janabi (@profjanabi) 's Twitter Profile Photo

Katika muendelezo wa kutoa elimu kwa jamii kuhusu magonjwa mbalimbali. AFYA PODCAST:Sehemu ya Tatu na ya mwisho (PART THREE) Insulin Resistance ni kitu gani. Magonjwa gani yanahusikana na Insulin Resitance ni yapi? . Na je Ushauri ni nini na watu wafanyeje? #mtindo_wa_maisha

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Tunakimbizana na miadi, tukutane na watu tusikike, tuigize, tujiinue na kukosoa lakini tunasahau kukutana na ‘sisi.’ Tangu nianze desturi ya kupata muda wa ‘kukutana na mimi’, nitulie nijisikilize, nijitazame, nijikosoe na kujipongeza panapostahili, nimeona mabadiliko makubwa.

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

KWENYE elimu: 1. Ukiwa na nadharia kubwa na vitendo kidogo unakuwa msomi, schooled. Na hawa ni wengi zaidi. 2. Ukiwa na mafunzo ya vitendo sana, lakini nadharia kidogo tu, unaitwa fundi, technical. Na hili nalo ni kundi kubwa. 3. Ukiwa na uwiano mzuri wa nadharia na vitendo kwa

KWENYE elimu:
1. Ukiwa na nadharia kubwa na vitendo kidogo unakuwa msomi, schooled. Na hawa ni wengi zaidi.

2. Ukiwa na mafunzo ya vitendo sana, lakini nadharia kidogo tu, unaitwa fundi, technical. Na hili nalo ni kundi kubwa.

3. Ukiwa na uwiano mzuri wa nadharia na vitendo kwa
Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Mwemezi Rwiza, PhD Interesting. Naitazama nadharia yako kama hatua tatu za kuelimika: 1. Unafunzwa kufikiri (kupata maarifa hata kama hayatafsiriki katika utendaji). 2. Unageuza fikra (maarifa) kuwa vitendo na ubunifu. 3. Umahiri (ujuzi) ni hatua ya juu zaidi inayoleta uvumbuzi na ufumbuzi.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kadri unavyoliogopa jambo, aghalabu baya usilopenda litokee, ndivyo unavyoongeza uwezekano wa jambo hilo kutokea. Unachokiogopa kina kawaida ya kuusuka ufahamu wako ufikiri na ujielekeze kwenye vitu vinavyowezesha matokeo hayo unayoyaogopa kutokea kweli. #ElimikaWikiendi

MCHECHEMUZI (@advo_kelvin) 's Twitter Profile Photo

Afya ya akili. Falsafa ya kale ilihimiza maadili na udhibiti wa hisia kama suluhisho, huku falsafa ya kisasa ikiunganisha sayansi, tiba, na haki za kijamii ili kuelewa afya ya akili kwa undani zaidi.🌍

Afya ya akili.

Falsafa ya kale ilihimiza maadili na udhibiti wa hisia kama suluhisho, huku falsafa ya kisasa ikiunganisha sayansi, tiba, na haki za kijamii ili kuelewa afya ya akili kwa undani zaidi.🌍
Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Usipokuwa na utayari wa kusikiliza stori ndogo ndogo, tena mara nyingi zisizoeleweka anazokusimulia mwanao leo akiwa mdogo, akikua utatamani akwambie mambo yake muhimu lakini hatokuwa tayari. Unayoyaona madogo leo kwa mtoto ni masuala mazito yanayohitaji usiku wako.

Bybit (@bybit_official) 's Twitter Profile Photo

🚨New to #Bitcoin? Let us help you get started with a welcome gift! 🎁Limited time only with up to 5,050 $USDT in rewards! 👇Click on Claim Now!

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Walipofika kwenye chumba cha Usaili walishangaa kukuta kuna vitanda! Wakaambiwa walale; kisha wale watakaoota ndoto nyingi zaidi ndio wataarijiwa. Dagaa wakafanya Vizuri; Lakini wakaajiriwa samaki.