Abracadabra: Kipindi tunaaminishwa kuwa Wagner wameenda Belarus, kumbe walikuwa wakiingia Libya, Mozambique, Mali, the Central African Republic, Sudan na Congo.
Alisoma Ufaransa kisha akaanza Kuimba Muziki.Akiwa na Miaka 30 tu baba yake akamteua kuwa Waziri kisha akawa Rais baada ya baba yake Kufariki. Shabiki wa Real Madrid na Mwanachama hai wa Freemason, aliyemleta Messi na Michael Jackson Gabon. Mwisho Ali Bongo amepinduliwa na Jeshi
Updates ๐
โน๏ธ Djuma Shabani ๐จ๐ฉ ni mali ya Azam Fc ๐น๐ฟ baada ya kumalizana na Young Africans.
โ๏ธ Signed & Sealed
OFFICIAL ANNOUNCEMENT ๐ข ๐
Azam Fc kutoka kwa Mabingwa imewapata
โน๏ธ Feisal Salum
โน๏ธ Yannick Bangala
โน๏ธ Djuma Shabani
๐จ Updates ๐
โน๏ธ Mtanzania Novatus Dismas amejiunga na Klabu ya Shakhtar Donetst ๐บ๐ฆ akitokea Zulte Weregem ๐ง๐ช .
โ๏ธ Novatus atacheza michuano ya UEFA champions league akiwa kundi Moja na Barcelona ๐ช๐ธ, Fc Porto ๐ต๐น na Royal Antwerp ๐ง๐ช
โZamani tulikuwa tunaambiwa mashabiki wa Yanga ni wengi kuliko Simba. Sijawahi kuwa na uhakika na hili mpaka sasa. Ninachojua ni kwamba mashabiki wa Yanga wanaipenda zaidi timu yao kuliko mashabiki wa Simba wanavyoipenda timu yao.โ
- Edo Kumwembe LEGEND.
Yanga wametoa utaratibu wa kwenda na kurudi Kigali Rwanda mechi dhidi ya Al Merrikh ni 150k. Naona kabisa Rwanda inakwenda kutapika Wananchi. Swali langu ni kwamba, wangapi watarudi? ๐๐