Abdulrahman simbo Silaa
@abdulrahma11082
ID: 1665010367599091713
03-06-2023 15:00:29
27 Tweet
40 Followers
573 Following
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa , Leo Juni 29, 2023, amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu katika Swala ya Eid El Adh'haa ambayo imefanyika kitaifa Jijini Dar es Salaam katika Msikiti Mkuu wa Mfalme Mohamed wa Sita, ulioko Kinondoni.