B.I.G (@_10x_mindsets) 's Twitter Profile
B.I.G

@_10x_mindsets

ID: 1312078714465906690

calendar_today02-10-2020 17:15:51

7,7K Tweet

168 Followers

329 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Huyu ANAKUFA na AKIFA kama nitakuwa HAI nitachinja MBUZI 100 mtaani kwetu Mbeya kama Sadaka yangu kwa MUNGU kusikia Maombi yetu.

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Binafsi nikiingia kwenye convo na mtu au watu kuhusu yaliyotokea na yanayoendelea, au nikisikia tu mtu anayaongelea. Na katika kuyaongelea haanzi na kuilaumu serikali na kuikemea kuwa ndio chanzo kikuu na chanzo namba 1 cha haya yaliyotokea……huyo mtu naacha kumsikiliza na

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

MaCCM yanataka tusahau kila kitu kilichotokea kabla na baada ya 29.10.25 kwa haraka sana. Haiwezekani. Hatujawahi kushuhudia MAUAJI ya raia ya kutisha namna ile. Hatujazoea kuona maiti mtaani tena zilizopigwa risasi. Kitu pekee kinaweza kutuliza gadhabu ni UKWELI na UWAJIBIKAJI.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Chama chetu kimeshambuliwa pakubwa mno, viongozi na wanachama wetu kwa maelfu wametekwa, kuumizwa, kuwekwa mahabusu za polisi kwa mda mrefu bila sababu.. Wengine kina Mdude, Soka , Kipanya na wengine wengi hajulikani walipo Mpaka sasa. Chama chetu kimefungiwa kufanya kazi kwa

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.

Watanzania soon mtapata habari njema ambazo kidogo zitatufanya tuone dunia inajali mauaji ya kikatili tuliyoyapitia. Bookmark this tweet.

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Msimamo ulikuwa ni kuachana na Muziki wa Bongo pia kuachana na Simba na Yanga, lakini Watu wameshindwa ila wabishi haturudi nyuma.😨

Msimamo ulikuwa ni kuachana na Muziki wa Bongo pia kuachana na Simba na Yanga, lakini Watu wameshindwa ila wabishi haturudi nyuma.😨
Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Toka 29 tuko kwenye vita kali sana ya kisiasa iliyojaa hisia nyingi na uchungu(hadi kukoseana heshima). Tunapoibadili vita hii na kuwa vita ya uchumi binafsi baina yetu vijana tunapoteza direction zaidi na wanufaika ni wachache na wanafurahia(huyu atabet,huyu atafanya hiki but

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.

Peter Msigwa (@msigwapeter) 's Twitter Profile Photo

“Much love, my friend—I miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. I’m keeping you in my prayers—may God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.”