NTELE (@wisemanntele) 's Twitter Profile
NTELE

@wisemanntele

Our Lives Begin To End the Day We Become Silent About Things That Matter! | I'm Because We Are. #KatibaMpya Enthusiast, #KeepItOn.

ID: 2967298624

calendar_today08-01-2015 04:51:57

205,205K Tweet

8,8K Followers

685 Following

NTELE (@wisemanntele) 's Twitter Profile Photo

"ONYO kwa SASHA na Jeshi lako: Kuandamana sio kosa linalowarrant kupigwa risasi na kuuwawa. Nakukumbusha: damu zitakazomwagika zitakuwa juu yako. Hatuwezi kuishi kwa hofu ktk Taifa letu. You've claimed lots of blood. Imetosha. Urais wako sio muhimu zaidi ya uhai." Tito Magoti

"ONYO kwa SASHA na Jeshi lako: Kuandamana sio kosa linalowarrant kupigwa risasi na kuuwawa. Nakukumbusha: damu zitakazomwagika zitakuwa juu yako. Hatuwezi kuishi kwa hofu ktk Taifa letu. You've claimed lots of blood. Imetosha. Urais wako sio muhimu zaidi ya uhai." <a href="/TitoMagoti/">Tito Magoti</a>
NTELE (@wisemanntele) 's Twitter Profile Photo

"Ibara za 18 na 20 za katiba ya JMT ya 1985 na Kifungu cha 11(4),(5),(6),(7) na (8) vya sheria ya vyama vya siasa cap 258 havikuzingatiwa na Jeshi la Polisi kuhusu katazo lake kwa Maandamano ya CHADEMA.Hivyo amri ya Polisi ni batili na haramu kwa kukiuka Katiba na sheria ."

"Ibara za 18 na 20 za katiba ya JMT ya 1985 na  Kifungu cha 11(4),(5),(6),(7) na (8) vya sheria ya vyama vya siasa cap 258 havikuzingatiwa na Jeshi la Polisi kuhusu katazo lake kwa Maandamano ya CHADEMA.Hivyo amri ya Polisi ni batili na haramu kwa kukiuka Katiba na sheria ."
NTELE (@wisemanntele) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi limemzuia Dr. Lilian Mtei, Mke wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwa anatoka nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.

NTELE (@wisemanntele) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chadema Taifa. Mhe. Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Septemba 23, 2024 alipofika katika eneo hilo kuongoza maandamano ya amani.

Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

Kadri unavyozidi kuumiza watu, kudhuru watu kutesa watu , Hivyo hivyo na HOFU YA KUONDOKA MADARAKANI INAZIDI KUONGEZEKA na hatimaye kuendelea kung'ang'ania madaraka na mwisho wake ni mbaya. YETU MACHO

NTELE (@wisemanntele) 's Twitter Profile Photo

Dr.Lilian Mtei (Mke wa Freeman Mbowe) na mwanae Nicole Mbowe wameachiwa huru, baada ya Mawakili wa Chadema wakiongozwa na Peter Kibatala kufika kituo cha Polisi Oysterbay na kuhoji sababu za kukamatwa kwao.

Dr.Lilian Mtei (Mke wa Freeman Mbowe) na mwanae Nicole Mbowe wameachiwa huru, baada ya Mawakili wa Chadema wakiongozwa na <a href="/PKibatala_/">Peter Kibatala</a> kufika kituo cha Polisi Oysterbay na kuhoji sababu za kukamatwa kwao.
Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

Day 1: Kilaza anamuingiza kingi namba moja wetu kwamba CDM Arusha wanapanga kumpindua "boss kubwa". Day 2: Namba moja wetu anakubali kuingizwa kingi na Kilaza Kwa kutoka hadharani Na kueleza mipango ya KUBUMBA YA CDM Day 03: Kilaza anasema Mbowe yupo Arusha. KATIKA AJABU

ANGAÜMANĢÍN (@allencyao_tz) 's Twitter Profile Photo

Ismail Jussa Siasa za 2010- 2015 zilikua za hoja watu walikosoa kwa hoja wakajibiwa kwa hoja na hatua zilichukukiwa angalau kwa usawa. Siasa za 2016 hadi sasa Hoja zinajibiwa kwa rungu, vitisho, kesi, kufilisiwa kupotezwa na hata vifo. Kukabiliana na mazingira haya lazma ujikane nafsi yako.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

The Guardian wanasema kwamba ⁦Tigo Tanzania⁩ walitoa data na locations za Mhe. Tundu Antiphas Lissu kwa Serikali ya Magufuli kabla hajapigwa risasi. Ushahidi huo umetolewa na Michael Clifford, afisa wa zamani wa polisi, Metropolitan katika Mahakama ya London. theguardian.com/world/2024/sep…

NTELE (@wisemanntele) 's Twitter Profile Photo

"Waliomo madarakani wanaipaka matope nchi yetu na kuonajisi hadhi yake. Wanatutangaza kama watekaji na wauwaji, wezi, waporaji na majambazi ndio wanaiendesha nchi ya Kambarage. Hawa ni watu haramu." Jenerali Ulimwengu

"Waliomo madarakani wanaipaka matope nchi yetu na kuonajisi hadhi yake. Wanatutangaza kama watekaji na wauwaji, wezi, waporaji na majambazi ndio wanaiendesha nchi ya Kambarage. Hawa ni watu haramu." <a href="/raiyajenerali/">Jenerali Ulimwengu</a>