DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profileg
DevotaTweve

@TweveDevota

Journalist | SRHR & Gender Champion | Instagram https://t.co/Op0KpkR68g

ID:2713275117

calendar_today15-07-2014 21:17:33

78,4K Tweets

80,6K Followers

835 Following

winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Sheria ya ndoa 1971 inatoa mwanya kwa kwani inaruhusu msichana chini ya miaka 18 kuolewa.Hii inakinzana na Sheria ya Mtoto inayomtafsiri mtoto kuwa ni “mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka 18”

Maboresho ya yanahitajika ili kumkomboa mtoto wa kike.

Sheria ya ndoa 1971 inatoa mwanya kwa #NdoaZaUtotoni kwani inaruhusu msichana chini ya miaka 18 kuolewa.Hii inakinzana na Sheria ya Mtoto inayomtafsiri mtoto kuwa ni “mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka 18” Maboresho ya #SheriaYaNdoa yanahitajika ili kumkomboa mtoto wa kike.
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Makuzi ya mtoto yanahitaji ukomavu wa wazazi na kubeba majukumu, changamoto ya inampa majukumu binti mdogo anayeathirika kisaikolojia

Makuzi ya mtoto yanahitaji ukomavu wa wazazi na kubeba majukumu, changamoto ya #NdoaZaUtotoni inampa majukumu binti mdogo anayeathirika kisaikolojia
account_circle
Imani Henrick Luvanga(@Imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Mimi na Webiro Wakazi Wassira #TheLeader Tayari tuko live pale mjini YouTube.

Usije angamia kwa kukosa maarifa, eti Ooh! Mimi sijui hata namna gani naweza tengeneza pesa kwenye majukwaa ya kidijitali kupitia muziki, Webiro Wakazi Wassira #TheLeader alitoa shule ya maana kabisa hapa, Hallah 👇

🔗 youtu.be/cdZQdKIt63c?si…

Mimi na @Wakazi Tayari tuko live pale mjini YouTube. Usije angamia kwa kukosa maarifa, eti Ooh! Mimi sijui hata namna gani naweza tengeneza pesa kwenye majukwaa ya kidijitali kupitia muziki, @Wakazi alitoa shule ya maana kabisa hapa, Hallah 👇 🔗 youtu.be/cdZQdKIt63c?si…
account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Suala la matumizi ya taulo za kike/pedi linatakiwa kutiliwa mkazo ili kuwaepusha wasichana na magonjwa ya muwasho kutokana na baadhi yao kutumia vifaa ambavyo ni hatarishi wakati wa kujistiri mfano kinyesi cha ng’ombe na nguo zilizochakaa na chafu

account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Kumudu taulo za kike/pedi wakati wa kipindi cha hedhi imekuwa ni changamoto kubwa kutokana na gharama zake. Je, nini kifanyike?

account_circle
Imani Henrick Luvanga(@Imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Kaka jaribu Dig It with Imani the Podcast halafu uniambie, sina shaka utakua Goodwill ambassador baada ya kusikiliza walau episode mbili 😂

🔗 youtube.com/@digitwithiman…

account_circle