Dada Edna Leonard wa Shirika lisilo la Kiserikali la Child Support TZ leo anatujuza kwa nini usalama wa watoto wanapokuwa shuleni ni suala nyeti na la kuzingatiwa na wadau wote wa elimu #Nitamlinda #ShuleSalama
HakiElimu UNICEF Tanzania Coalition for Good Schools Raising Voices Violence Against Children Hongerani sana kwa kuibua suala hili.Zipo adhabu mbadala ambazo zimedhibitishwa kuwasaidia watoto sio tuu kuwa na tabia njema lakini pia kujifunza. Adhabu ya viboko humwacha mtoto na kumbukumbu mbaya ya maumivu ambayo wengine hukuwa nayo hata wakiwa watu wazima #Nitamlinda
▪️️Leo ubaoni tunaye Bi. Sara Bedah kutoka Shirika la Msichana Initiative akitueleza kwa nini ulinzi na usalama wa watoto shuleni ni jambo ambalo linahitaji kuzingatiwa na kila mmoja wetu. #Nitamlinda Read less