Ms_Genya Tanya Russell winharder_ Mbundi John Sonnino⚡ Holy Moyo wa TAIFA ™️ Babu kipara WHYMYCATISSAD KIPEPE 💊 TricyLove🦁 #AGM2024 #ZuiaUkatiliMtandaoni
Wasichana wengi wa vyuo wanashindwa kutambua thamani ya milii yao na kupelekea kudhalilishwa na wapenzi wao kwa picha chafu na video Ni lazima tuendelee kukumbushana kujijali na kuwa na misimamo ~ | Ibrahim Samatta #Beonline #ZuiaUkatiliMtandaoni
"Tatizo la rushwa ya ngono ni kubwa lakini limegubikwa na ukimya, wahanga wengi hawatoi taarifa wakiogopa kudhalilishwa zaidi" - Dr Rose Reuben, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Media Women #16Days #ZuiaUkatiliMtandaoni #KomeshaUkatili
Johnbest Mwahaja Peace Maker🇹🇿 #ZuiaUkatiliMtandaoni #ZuiaUkatili