DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile
DevotaTweve

@twevedevota

| Instagram instagram.com/twevedevota_

ID: 2713275117

calendar_today15-07-2014 21:17:33

88,88K Tweet

84,84K Takipçi

902 Takip Edilen

DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile Photo

Wasanii wetu wanafanya challenge ya suit anazovaa mama, hakika aliyetoa wazo hili ana maono sana ya kutufukisha nchi ya asali na maziwa. Ikiwezekana iwe lazima kuvaa mavazi ya mama kwa wanawake wote. Hata hivyo sijui nafikiria nini🥹

Mbundi John (@johnmbundi) 's Twitter Profile Photo

Wamiliki na viongozi wa vyombo vya habari wana wajibu wa kuhakikisha wao ndio wanakuwa mstari wa mbele kusimamia kuondoa vikwazo vyote vya kijinsia ndani vyumba vya habari. Tanzania Media Women #WomenInMediaTz

Wamiliki na viongozi wa vyombo vya habari wana wajibu wa kuhakikisha wao ndio wanakuwa mstari wa mbele kusimamia kuondoa vikwazo vyote vya kijinsia ndani vyumba vya habari.

<a href="/TAMWA_/">Tanzania Media Women</a> 
#WomenInMediaTz
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mambo ya kuzingitia kwa vyombo vya habari vinapochapisha habari mtandaoni ▪︎ Usahihi wa habari ▪︎ kupata chanzo sahihi ▪︎ kuepuka udhalilishaji ▪︎ Kutokurudia taarifa iliyochapishwa muda mrefu #WomenInMediaTz #VunjaUkimya #ZuiaUkatili

Mambo ya kuzingitia kwa vyombo vya habari vinapochapisha habari mtandaoni 
▪︎ Usahihi wa habari
▪︎ kupata chanzo sahihi
▪︎ kuepuka udhalilishaji 
▪︎ Kutokurudia taarifa iliyochapishwa muda mrefu #WomenInMediaTz #VunjaUkimya #ZuiaUkatili
DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile Photo

Binafsi natamani elimu yetu ya msingi iishie hata darasa la 5 kuliko la 6 kama ilivyobadilishwa kwasasa ila tu iwe ni elimu ya vitendo na kutumia teknolojia kuendana na soko la dunia. Tazama hapa kufuatilia mjadala kuhusu elimu yetu youtu.be/vouiELGjnbU7 #SiasaZetu