HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile
HakiElimu

@hakielimu

A non–profit organization strives for an open, just and democratic society with quality education for all. Overall winner of African CSO Excellence Awards.

ID: 243172143

linkhttp://www.hakielimu.or.tz calendar_today26-01-2011 13:24:26

12,12K Tweet

157,157K Takipçi

626 Takip Edilen

ICS SP (@ics_sp) 's Twitter Profile Photo

Safe, stable and nurturing relationships and family environments for children have a positive impact on a broad range of health, protection and development outcomes for children. #EndViolence #SafeSchools #WholeSchoolApproach #EducationForAll #ChildProtection #StopSchoolViolence

Safe, stable and nurturing relationships and family environments for children have a positive impact on a broad range of health, protection and development outcomes for children. 
#EndViolence #SafeSchools #WholeSchoolApproach
#EducationForAll #ChildProtection #StopSchoolViolence
Land Dwellers (@land_dwellers) 's Twitter Profile Photo

Hali ilivyo katika Shule ya Msingi Kisesa iliyopo Kata ya Shilalo, Misungwi jijini Mwanza na hii ndiyo hali ya madarasa ya shule hiyo ambayo wanafunzi wanayatumia. Hali ya majengo haya inahatarisha usalama wa wanafunzi HakiElimu Wizara ya Elimu Tanzania

JIWE  (@yassin_jiwe) 's Twitter Profile Photo

NI USHAURI TU Ningewaomba WIZARA ya Elimu kwenye mtaala mpya, English iwe lugha ya kufundishia kuanzia darasa la awali hadi kidato cha nne, A Level hadi University Kiswahili iwe ndo lugha ya ujifunzaji Tunateseka mno na English sekondari kwasababu msingi wa lugha hiyo si mzuri

NI USHAURI TU

Ningewaomba WIZARA ya Elimu kwenye mtaala mpya, English iwe lugha ya kufundishia kuanzia darasa la awali hadi kidato cha nne, A Level hadi University  Kiswahili iwe ndo lugha ya ujifunzaji

Tunateseka mno na English sekondari kwasababu msingi wa lugha hiyo si mzuri
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

▪️Je ukiwa kama mzazi au mlezi , ukiacha michango ya fedha unayotoa ili kumwezesha mtoto wako kupata elimu, je ni shughuli zipi nyingine zipi zinazohusu elimu ya mwanao ambazo unashiriki? Tafakari, Chukua, Hatua ..........#Nawajibika

Today, the HakiElimu team met to strategize for our new #ECD project! 🎉 We're excited to strengthen the CSO movement, empower citizens, and improve childcare services for reintegrated teen mothers in Tanzania. Stay tuned for updates! 📸 #EarlyChildhoodDevelopment #MtotoMdogo

Today, the <a href="/HakiElimu/">HakiElimu</a> team met to strategize for our new #ECD project! 🎉 We're excited to strengthen the CSO movement, empower citizens, and improve childcare services for reintegrated teen mothers in Tanzania. Stay tuned for updates! 📸 #EarlyChildhoodDevelopment #MtotoMdogo
Uwezo Tanzania (@uwezotanzania) 's Twitter Profile Photo

This week on Thursday, Uwezo, USAID, MoEST and PoRALG team visited Uwezo My village project schools in Gairo to learn how children are supported to improve in Literacy and Numeracy skills. The team also met Gairo District Commissioner, Jabiri Makame and the educational officials

This week on Thursday, Uwezo, USAID, MoEST and PoRALG team visited Uwezo My village project schools in Gairo to learn how children are supported to improve in Literacy and Numeracy skills. The team also met Gairo District Commissioner, Jabiri Makame and the educational officials
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

Je, unataka kuona mtoto wako akiwa na furaha, akijifunza, na akiwa na marafiki wengi? Elimu jumuishi ndiyo jibu! #ElimuJumuishi

Je, unataka kuona mtoto wako akiwa na furaha, akijifunza, na akiwa na marafiki wengi? Elimu jumuishi ndiyo jibu! #ElimuJumuishi
Uwezo Tanzania (@uwezotanzania) 's Twitter Profile Photo

Day 3 of the teachers training for My Village project by Uwezo in Ludewa district. The Regional Education Officer for Njombe,Nelas Mulungu officially opened the training and insisted that, the training is very useful to support children improve in reading, writing and arithmetic

Day 3 of the teachers training for My Village project by Uwezo in Ludewa district. The Regional Education Officer for Njombe,Nelas Mulungu officially opened the training and insisted that, the training is very useful to support children improve in reading, writing and arithmetic
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

Protecting children in and out of school is everyone's responsibility. Adelina Kamara from Save the Children Tanzania shares six essential principles to ensure child safety. Which principle resonates most with you? Let's discuss it! #ChildProtection #SafeSchools

Consultancy Opportunity! 🌟 Join us in evaluating our strategic direction. We are looking for experts to review our 2022-2026 strategic plan. Check out the details in the TOR at shorturl.at/b8Wt6

𝐇𝐚𝐤𝐢𝐄𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐧𝐚 𝐀𝐌𝐔𝐂𝐓𝐀 𝐰𝐚𝐮𝐧𝐠𝐚𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮 𝐤𝐮𝐛𝐨𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐄𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐬𝐡𝐢 Shirika la HakiElimu limeingia makubaliano ya mahusiano na AMUCTA (Archbishop Mihayo University College of Tabora) ambayo yanalenga kuimarisha uwajibikaji katika

𝐇𝐚𝐤𝐢𝐄𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐧𝐚 𝐀𝐌𝐔𝐂𝐓𝐀 𝐰𝐚𝐮𝐧𝐠𝐚𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮 𝐤𝐮𝐛𝐨𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐄𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐬𝐡𝐢
Shirika la HakiElimu limeingia makubaliano ya mahusiano na AMUCTA (Archbishop Mihayo University College of Tabora) ambayo yanalenga kuimarisha uwajibikaji katika
policy forum (@policy_f) 's Twitter Profile Photo

Policy Forum, HakiElimu , and RestlessDev Tanzania are hosting a ‘Kigoda Session’ to explore youth participation in shaping Tanzania’s future through education. The event, which will be held during the CSOs Week, is scheduled for 10th September 2024, from 09:00 am to 10:30 am at Mount

Policy Forum, <a href="/HakiElimu/">HakiElimu</a> , and <a href="/SautiyaVijana/">RestlessDev Tanzania</a> are hosting a ‘Kigoda Session’ to explore youth participation in shaping Tanzania’s future through education. The event, which will be held during the CSOs Week, is scheduled for 10th September 2024, from 09:00 am to 10:30 am at Mount
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

Hivi karibuni kumekuwepo na matukio ya utekaji na uuaji wa watoto katika maeneo mbalimbali jambo limeleta hofu kubwa hasa kwa wazazi na walezi. Suala hili limeibua mjadala mkubwa sana ambao unaendelea mpaka sasa. Suala la ulinzi na usalama wa watoto ni jukumu la wazazi, walezi,