NASHCoP Tanzania
@tanzanianacp
Ministry Of Health (MOH)
National AIDS, STIs and Hepatitis Control Programme (NASHCoP),
Box 784
[email protected]
+255(0)262960148
ID: 1327282475685572608
http://www.nacp.go.tz 13-11-2020 16:09:51
387 Tweet
493 Followers
62 Following
Wizara ย ya Afya kupitia NASHCoP kwa kushirikiana na wadau mbalimbali inatarajia kufanya utafiti wa tathimini ya utekelezaji wa afua za kinga dhidi ya VVU na UKIMWI kwa makundi yaliyokatika hatari zaidi ya kuambukiza au kuambukizwa VVU. Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI
Her ya Kuzaliwa Mhe,Rais wa Jamhurinya Muunganonwa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Samia Suluhu ikulu_Tanzania Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ
๐Heri ya kuzaliwa Rais wa Jamhmuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt.Samia Suluhu Hassan Samia Suluhu ikulu_Tanzania Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ
Naibu Waziri wa afya Dkt.Godwin Molel leo tarehe 20.02.2025 ameungana na Mhe. Ummy Hamis Nderiananga, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) na viongozi wengine na wadau katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mradi wa Timiza Malengo.TACAIDS Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ
ARV KUENDELEA KUPATIKANA BURE, KICHEKO KWA WATUMIAJI Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa Serikali itaendelea kuhakikisha huduma za dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV) zinapatikana bure kwa WAVIU wote. Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ