Nelson (@nelson23281664) 's Twitter Profile
Nelson

@nelson23281664

ID: 1524018552151453702

calendar_today10-05-2022 13:28:52

21,21K Tweet

262 Followers

410 Following

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Tukubaliane ARUSHA ni MABINGWA Kwa maandamano haya ya round ya kwanza kwa mikoa minne ya Dar es Salaam,Mwanza,Mbeya na Arusha. Au mnasemaje..? Mkinuna na post tena....!

Tukubaliane ARUSHA ni MABINGWA

Kwa maandamano haya ya round ya kwanza kwa mikoa minne ya Dar es Salaam,Mwanza,Mbeya na Arusha.

Au mnasemaje..?

Mkinuna na post tena....!
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Soko la Samunge, Arusha. Mvua kubwa imepiga lakini mkasema ‘hapana’ tutaandamana tu. Mmetupa heshima kubwa sana Arusha. #vuguvugulakudaihaki #peoplespower

Soko la Samunge, Arusha. Mvua kubwa imepiga lakini mkasema ‘hapana’ tutaandamana tu. Mmetupa heshima kubwa sana Arusha. #vuguvugulakudaihaki #peoplespower
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 116:12-14  "Nimrudishie BWANA nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea..?" Lakini kama mtanuna nawataarifu nina picha 70 za Kupost siku ya leo. Kama mnabisha nuneni,nipost tena

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Hivi TISS bado ipo? Inafanyakazi ? Vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya briefing kwa Rais kila asubuhi ? wanamwambia hali yake ya kisiasa ni mbaya? wanamwambia mwaka 2025 ngumu kuiba uchaguzi kama ilivyozoeleka Wameona Arusha wananchi wamekaa kwenye mvua na wamemiminika kwa

Joel Msuya (@joelymsuya) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wa ARUSHA leo wameonyesha #Commitment ya hali ya juu katika kuitafuta na kuipata Tanzania iliyobora. Yaani fikiria mtu anakuja kwenye MAANDAMANO bila kulazimishwa alafu anakubali kunyeshewa na mvua ilimradi ahakikishe amefikisha ujumbe wake. Watanzania wako tayari.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Dunia nzima ukiitisha maandamano mkakubaliana na Polisi juu ya njia za kutumia, kazi yao ya kwanza ni kusafisha njia kwa kuondoa magari barabarani. "RPC wa Arusha na wenzake kule kwa Mrombo, wametutaka tutumie upande mmoja tu wa barabara ili magari yapite upande mwingine. Nyie

"Dunia nzima ukiitisha maandamano mkakubaliana na Polisi juu ya njia za kutumia, kazi yao ya kwanza ni kusafisha njia kwa kuondoa magari barabarani.

"RPC wa Arusha na wenzake kule kwa Mrombo, wametutaka tutumie upande mmoja tu wa barabara ili magari yapite upande mwingine. Nyie
Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile Photo

Iwe mvua iwe jua... Haki itapiganiwa tu.Maana halisi ya Maandamano! Wale mnaokuwa mnatushauri kusogeza mbele .......Kama mvua haikuyasogeza unafikiri nini kingine ?

Iwe mvua iwe jua... Haki itapiganiwa tu.Maana halisi ya Maandamano! Wale mnaokuwa mnatushauri kusogeza mbele .......Kama mvua haikuyasogeza unafikiri nini kingine ?