Mmary4change (@mmary58595017) 's Twitter Profile
Mmary4change

@mmary58595017

Mmary

ID: 1534036404329713665

calendar_today07-06-2022 04:56:15

2,2K Tweet

2,2K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kauli ya Mkuu wa Majeshi (CDF) Jenerali Jacob Mkunda juu ya wageni kuingia katika mifumo ya utawala na shughuli nyingine muhimu za Nchi,ni kauli ya kuzingatia na inapaswa kuchukuliwa kwa tahadhari kubwa. Kwani nina wasiwasi kuna watu wanaweza kuanza kuteswa na kubezwa kwa

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Mbezi ya Motoooooooooooo..! Maandamano Day. Hapa bado tunamsubiri Mheshimiwa Tundu Lissu tulianzishe. waliopo katibu wasogee wanjiani watusubiri

Mbezi ya Motoooooooooooo..!

Maandamano Day.

Hapa bado tunamsubiri Mheshimiwa Tundu Lissu tulianzishe.

waliopo katibu wasogee wanjiani watusubiri
Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Leo, CHADEMA imetunga sheria (PRECEDENT) mpya. Imefuta DHANA POTOFU kwamba maandamano ni FUJO! Hili tukio ni la KIHISTORIA na itakuwa VIGUMU kwa Polisi KUZUIA maandamano yanayofuata kutokana na kauli za wanasiasa wa vyama vingine. CHADEMA imetengeneza USHAHIDI (evidence). ☄️

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Leo kazini palikuwaa na kazi..! Wajibu wa kuhakikisha usalama wa viongozi, Waandamanaji na mali za chama na waandamanaji zipo Salama. Asante Mungu kazi imeisha salama,hakuna aliyeumia,majeruhi,wala aliyeibiwa au kupoteza kitu chake. Yule Kibaka pale Shekilango hatorudia tena.

Leo kazini palikuwaa na kazi..!

Wajibu wa kuhakikisha usalama wa viongozi, Waandamanaji na mali za chama na waandamanaji zipo Salama.

Asante Mungu kazi imeisha salama,hakuna aliyeumia,majeruhi,wala aliyeibiwa au kupoteza kitu chake.

Yule Kibaka pale Shekilango hatorudia tena.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Ndugu yetu wa damu kabisa, Emmnauel Elibariki (Nay Wa Mitego) amerudi jioni kutoka ughaibuni na hakushiriki maandamano, amewaletea zawadi; ameachia chuma kwa ajili yetu sote, jiwe linakwenda kwa jina la #wapihuko. Ngoma yote unaweza kuipata YouTube na kuitazama. Let’s go!

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Jasusi report zako zimekuwa za ukweli mara nyingi. Tulionya kwamba ni bora JWTZ wachukue nchi badala ya kuiacha nchi kwa maharamia. Tumepata DM nyingi zikitoa tahadhari kwamba wanajaribu kumsukia CDF exit. Hadi CDF anatoa tahadhari ni kwamba siri za nchi zinaripotiwa nchi jirani.

Jasusi report zako zimekuwa za ukweli mara nyingi. Tulionya kwamba ni bora JWTZ wachukue nchi badala ya kuiacha nchi kwa maharamia. Tumepata DM nyingi zikitoa tahadhari kwamba wanajaribu kumsukia CDF exit. Hadi CDF anatoa tahadhari ni kwamba siri za nchi zinaripotiwa nchi jirani.
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hapa ni Dubai miaka mingi sana iliyopita niliwa Chalii sana kabla hatujaanza harakati na siasa, wkt huu nilikuwa nauza Gemstones na kuleta simu used na magari.Siku hii nilikuwa mahali kwenye one of the best hotel in Dubai,nilikutana na Waziri mmoja wa Emirates tukaanza kuongea

Hapa ni Dubai miaka mingi sana iliyopita niliwa Chalii sana kabla hatujaanza harakati na siasa, wkt huu nilikuwa nauza Gemstones na kuleta simu used na magari.Siku hii nilikuwa mahali kwenye one of the best hotel in Dubai,nilikutana na Waziri mmoja wa Emirates tukaanza kuongea
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Vijana wenye ushawishi katika siasa hatari za Tanzania, na walioamua kutumia muda wao kukosoa tawala dhalimu na hatari ya CCM ni viumbe wa kuwaweka katika maombi nyakati zote. Tanzania ni sehemu hatari kwa wakosoaji wa serikali. Vijana hao na wao wachukue tahadhari katika

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

"Mstari mkubwa ukaanza lakini Kila aliechungulia ndani ya jeneza aliondoka kwa fedhea kubwa, kwani ndani ya jeneza kulikua na kioo kikubwa na kila aliechungulia alijiona mwenyewe" Edward Lowassa

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Mama Regina Lowassa pokea amani ya Mungu wewe pamoja na watoto, wajukuu,ndugu na jamaa zenu wote ktk wkt huu ambao Baba na Mume wako ametwalia kwenda kwa Bwana. Mauti kwa Mkristo sio adhabu wala hasara isipokuwa ni huzuni inayo tokana nasi kutengenishwa na tulioishi nao na

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kila mkoa anapokwenda Mkonda magari yetu ya serikali mkoa mzima yanasitisha kufanya shughuli za umma na kuanza kukimbia kwenye misafara yake. Hii ni Nchi ambayo watu wanakufa kwa kukosa sh 5,000, wengi wanalala na kushinda njaa. Watoto wanasoma kwenye mazingira magumu, vitu

Kila mkoa anapokwenda Mkonda magari yetu ya serikali mkoa mzima yanasitisha kufanya shughuli za umma na kuanza kukimbia kwenye misafara yake.

Hii ni Nchi ambayo watu wanakufa kwa kukosa sh 5,000, wengi wanalala na kushinda njaa.

Watoto wanasoma kwenye mazingira magumu, vitu
NTOBI (@ntobi_) 's Twitter Profile Photo

"Mnisikilize vizuri, kwa CHADEMA! Nawaambia asanteni sana. Viongozi wa CHADEMA na Wanachama wa CHADEMA asanteni, nawashukru sana. Sina zaidi.... ASANTENI, NAWASHUKRU sana." By Edward Ngoyai Lowassa. March 9, 2019. Monduli #RIPLowassa💔 #Statesman.

Yericko Nyerere (@yerickonyereret) 's Twitter Profile Photo

Asante Mh Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe kuweka sawa historia ya Hayati Lowasa kwamba alikuwa mwanachama wa Chadema na alikuwa mgombea Urais kupitia Chadema 2015. Jana nilipoandika kulaani kwa nguvu zote jaribio ovu la kamati ya mazishi iliyopo chini ya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa