Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profileg
Mkapa Foundation

@MkapaFoundation

The Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) is a Trust and non-profit organization established in 2006, aiming at bringing HOPE to the underserved.

ID:707913247115104256

linkhttp://mkapafoundation.or.tz/ calendar_today10-03-2016 12:57:25

2,7K Tweets

11,9K Followers

432 Following

Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

Serikali kwa kupitia Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ imefanya mambo mengi sana katika kutatua changamoto katika sekta ya afya. Nguvu tunazoweka sisi na wadau wengine ni katika kuunga mkono juhudi ambazo tayari zimeshaanza. Msikilize mwakilishi wa wizara akizungumzia hili youtu.be/2enPSYSzXwk?siโ€ฆ

account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—›๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐— ๐—ต๐—ฒ. ๐—•๐—ฒ๐—ป๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ป ๐— ๐—ธ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ

โคต๏ธ
Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Wizara ya Afya leo imefanya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, ikiwa

๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—›๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐— ๐—ต๐—ฒ. ๐—•๐—ฒ๐—ป๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ป ๐— ๐—ธ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ โคต๏ธ Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Wizara ya Afya leo imefanya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, ikiwa
account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

Kujisajili kwa ajili ya Kongamano la Rasilimali watu katika Sekta ya Afya, ingia hapa events.mkapafoundation.or.tz/hrh-conferenceโ€ฆ

๐Ÿ—“๏ธ Julai 29-30,2024
๐Ÿ“Julius Nyerere International Convention Center (JNICC)

๐Ÿ“ŒUshiriki wa kilele cha Kumbukizi ya Mheshimiwa Mkapa (Julai 31,2024) ni kwa Mwaliko

account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

โ€œTunawasihi washiriki kuwahi kujiandikisha kushiriki Kongamano la Rasilimali Watu,kabla ya Juni 30 ili kupata OFA ya asilimia 50โ€anamalizia Rahel Sheiza

account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

โ€œVilevile tutatumia kongamano hili kuzindua Mpango Mkakati wa nne wa Mkapa Foundation (2024-2030) ambao utaanza kutekelezwa rasmi mwezi Julai,2024.

Tunaendelea kuwashukuru wadau wote wanaotuunga mkono katika miradi yetu yote,na kutusaidia kuendelea kutekeleza dhima yetu ya

account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

โ€œMwaka huu tumeambatanisha Kumbukizi pamoja na kongamano la kitaalam ili kuwapa wahudumu wa afya na wadau wote,nafasi ya kutoa mchango,mawasilisho, pamoja kutoa nafasi ya kuwakutanisha waajiri na waajiriwa katika sekta ya afya. Hii itasaidia kupata tathmini halisi ya utoaji

account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

An official press conference on the scheduled for July 29-31,2024 at the Julius Nyerere International Convention Center,in Da r es Salaam. The summit ia organized by Mkapa Foundation in collaboration with the government of the United Republic of

#HappeningNow An official press conference on the #MkapaLegacySummit scheduled for July 29-31,2024 at the Julius Nyerere International Convention Center,in Da r es Salaam. The summit ia organized by Mkapa Foundation in collaboration with the government of the United Republic of
account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

โ€œKwa siku mbili, kongamano la rasilimali watu litawaleta wadau kutoka sekta binafsi,mashirika ya umma,wahudumu wa afya,wadau wa maendeleo, asasi za kiraia pamoja waandishi wa habari kujadili changamoto za rasilimali watu katika sekta ya afya. Yatokanayo na kongamano hili

account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

โ€œMwaka huu Kumbukizi ya Mheshimiwa Benjamin William Mkapa inalenga kuendeleza falsafa ya KUJITEGEMEA ya Mheshimiwa Mkapa. Pia tutafanya mjadala wa masuala ya rasilimali watu katika sekta ya afya,ili kwa pamoja wadau tukatoa suluhisho na shauri mbalimbali kwa ajili ya kutatua

account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

Are you interested in the intersection of healthcare and technology? Share your research and ideas on how Human Resource for Health can apply technological advancements for improved healthcare delivery. Let's explore the future of healthcare together.

Submit your Abstract now

account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ข ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฟ๐˜ ๐—ผ๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ถ๐˜€! ๐Ÿ“ข

โ†ชThe National Human Resources for Health Conference is happening in late July, and we need YOUR voice now! This is your chance to enrich this conversation and contribute to solutions on Tanzania's human resources challenges in health.

๐Ÿ“ข ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฟ๐˜ ๐—ผ๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ถ๐˜€! ๐Ÿ“ข โ†ชThe National Human Resources for Health Conference is happening in late July, and we need YOUR voice now! This is your chance to enrich this conversation and contribute to solutions on Tanzania's human resources challenges in health.
account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

Calling all Tanzania healthcare heroes! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

The 2nd National HRH Conference is your chance to make a difference. Join us on July 29th & 30th as we discuss building a strong health workforce for a brighter future.

Here's how YOU can get involved:

- Share your ideas on

account_circle