Tanzania Dental Students Association(@tdsa_tanzania) 's Twitter Profileg
Tanzania Dental Students Association

@tdsa_tanzania

TDSA is a nonprofit organisation for all dental students In Tanzania.
📩 [email protected]

ID:1162177413431943169

linkhttps://tdsadental.com calendar_today16-08-2019 01:41:18

299 Tweets

346 Followers

60 Following

Kinywa Salama Initiative(@Kinywasalama) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Jana 9.03.2024 Kinywa Salama Initiative ilizinduliwa rasmi na balozi wa Uturuki Dr Mehmet Güllüoglu.Shukrani za dhati pia kwa wazungumzaji wetu Maryam Amour Tumaini MAKOLE Dr Isaac Maro Ibrahimu DDS,MPH
kwa inputs nzuri.
Hakika huu ni mwanzo mwema kwetu.
Cc
Dr Baraka J Nzobo

Siku ya Jana 9.03.2024 Kinywa Salama Initiative ilizinduliwa rasmi na balozi wa Uturuki Dr Mehmet Güllüoglu.Shukrani za dhati pia kwa wazungumzaji wetu @amour_maryam @TumainiMakole @DrIsaacMaro @ibramakoni kwa inputs nzuri. Hakika huu ni mwanzo mwema kwetu. Cc @bnzobo
account_circle
WhiteFrank Frank(@WhitefrankFrank) 's Twitter Profile Photo

Congratulations, Kinywa Salama Initiative team!
You're doing things that were once unimaginable. I've seen you trailblazing and growing.
All the best as you change the landscape of oral health as the public health agenda.
I am a proud brother 😀 🔥
Cc. Kuduishe Kisowile Muyabin Mgaza

Congratulations, @Kinywasalama team! You're doing things that were once unimaginable. I've seen you trailblazing and growing. All the best as you change the landscape of oral health as the public health agenda. I am a proud brother 😀 🔥 Cc. @Kudu_ze_Kudu @muya_bin
account_circle
Al~watan ☆○🦷(@Dr_Alwatan_DDS) 's Twitter Profile Photo

Alhamdulillah.. jana rasmi tulifanikiwa kuizindua organisation yetu ya Kinywa Salama Initiative Tunawashkur wote waliokua sehemu ya uzinduzi huo pia tunaomba kuendelea kupata ushirikiano ili tuweze kuisaidia jamii kwa pamoja cc Farhan Yusuf Yonah Mussa Maryam Amour Dr Isaac Maro

Alhamdulillah.. jana rasmi tulifanikiwa kuizindua organisation yetu ya @Kinywasalama Tunawashkur wote waliokua sehemu ya uzinduzi huo pia tunaomba kuendelea kupata ushirikiano ili tuweze kuisaidia jamii kwa pamoja cc @faryus88 @dds_yonah @amour_maryam @DrIsaacMaro
account_circle
D'(@Dizooh_) 's Twitter Profile Photo

Launching the KINYWA SALAMA INITIATIVE
An exciting journey to empower youth-led initiatives for a healthier future! Join us in shaping a world of Healthy Smiles and Healthy Lives. 🌍

account_circle
Kinywa Salama Initiative(@Kinywasalama) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Jana Uongozi mzima wa Kinywa Salama Initiative ulikutana kwa ajili ya kuandaa mpango kazi wa mwaka 2024.
Ilikua wakati mzuri na mikakati ya kuhakikisha jamii yetu inafikiwa na elimu na huduma za afya ya Kinywa na meno zinawafikia watanzania wote bila kujali hali zao.

Siku ya Jana Uongozi mzima wa Kinywa Salama Initiative ulikutana kwa ajili ya kuandaa mpango kazi wa mwaka 2024. Ilikua wakati mzuri na mikakati ya kuhakikisha jamii yetu inafikiwa na elimu na huduma za afya ya Kinywa na meno zinawafikia watanzania wote bila kujali hali zao.
account_circle
Al~watan ☆○🦷(@Dr_Alwatan_DDS) 's Twitter Profile Photo

'Overjet' ni hali ya meno ya juu kutangulia mbele ikiwa mtu mzima ama mtoto ana changamoto hii afike kwa daktari wa Kinywa na meno kuna matibabu maalumu ya kurudisha meno🦷 katika hali yake ya awali...

Ukiwa kama mzazi ama mlezi unapaswa kumzingatia mwanao kama ana tabia hii kujitahidi kumuachisha kwa namna yyt lengo kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza hapo baadae.. Miongoni mwa matatizo yanayoweza kupelekewa na Kunyonya vidole kwa watoto ni hali ya meno ya 'Overjet' 👇👇

'Thumb sucking' Kunyonya kidole(mostly dole gumba) especially kwa watoto huonekana ni jambo la kawaida lakini kuna hatari ya kuharibu Mpangilio wake wa meno(Dental formula) kama ataendelea na tabia hii kwa zaidi ya miaka miwili shuka nayo 👇👇