Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile
Maria Sarungi Tsehai

@mariastsehai

Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,

ID: 24312877

linkhttps://mariasarungitsehai.medium.com/ calendar_today14-03-2009 02:40:08

727,727K Tweet

1,2M Followers

8,8K Following

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni mafupi sana. Ila watawala wanataka kutuuwa mapema watawale bila bugdha. God is this what you meant for us? Hatukuja duniani kuwa kondoo. And we reject all attempts to make us apologists. Release Deus Soka & all the boys, NOW.

Lutanula12 (@lutanula121) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai A monster chura kiziwi nae Eti anapumzika ๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿคงkucount watu WOTE aliowateka? Warudishe wakiwa hai,โœ๏ธ

Ole SUPEYO. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชโœŠ (@supeyosupeyo) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai That's great, my advice to you and your followers is that you should never relent. Dictators have a tendency of suppressive free speech, using threats to sell fear but they have never won. The ultimate power is forever with the people. Viva โœŠ

๐‹๐ฎ๐ญ๐ก๐ž๐ซ ๐€๐ค๐ฒ๐จ๐จ (@lutherakyoo) 's Twitter Profile Photo

Mtanganyika mwenzetu yupo wapi? Yale yale makosa tuliofanya awamu ya kwanza kwa kina Ludovick Simon Mwijage , awamu ya tano kwa kina Mdude Chadema inaendelea! Lakini haijawahi kubadilisha maisha ya Watanganyika! Kwanini tusitafute njia mbadala badala ya kutekana na kuumizana!? ๐Ÿค•๐Ÿค•๐Ÿ˜ข

Mtanganyika mwenzetu yupo wapi? 
Yale yale makosa tuliofanya awamu ya kwanza kwa kina <a href="/SimonMwijage/">Ludovick Simon Mwijage</a> , awamu ya tano kwa kina <a href="/mdudechadematz/">Mdude Chadema</a> inaendelea! 
Lakini haijawahi kubadilisha maisha ya Watanganyika! Kwanini tusitafute njia mbadala badala ya kutekana na kuumizana!? ๐Ÿค•๐Ÿค•๐Ÿ˜ข