John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile
John Pambalu

@john_pambalu

Former BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.

ID: 980521402678874113

linkhttps://twitter.com/Dream_Agritech?s=09 calendar_today01-04-2018 19:04:54

26,26K Tweet

302,302K Takipçi

1,1K Takip Edilen

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Press ya Mwalimu John Pambalu inatakiwa ikae hapa watu waone tunavyopikiwa UCHAGUZI MKUU 2025. Naileta Soon…! #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Dakika 20 za ufafanuzi wa kina kuhusu idadi ya wapiga kura iliyotolewa na TUME YA UCHAGUZI hivi karibuni. Asante mwalimu John Pambalu kwa kutoa shule hii. Ni wakati wa kuwaambia WAKOLONI WEUSI hawaongozi mafala. Repost TAARIFA HII KILA MTANZANIA ASIKILIZE UPUMBAVU WA TUME YA

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

"Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 wananchi wenye vigezo vya kupiga kura ni million 35. Lakini juzi Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi anasema watakaopiga kura ni million 37 hao watu million mbili wametoka wapi?". John Pambalu Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Uchaguzi CHADEMA taifa.

Robert Amsterdam (@robertamsterdam) 's Twitter Profile Photo

We strongly condemn the brutal and inhumane act committed by a prison officer who forcefully shoved and threw down Tundu Lissu while he was exiting the court premises following yet another postponement of his treason case—now set for August 13, 2025. This is a gruesome act of

Jeffrey Smith (@smith_jeffreyt) 's Twitter Profile Photo

Justice for Tundu Antiphas Lissu is justice for all who believe in democracy. Let us not be silent when voices for freedom are silenced. #FreeTunduLissu #FreeTanzania

Jenerali Ulimwengu (@raiyajenerali) 's Twitter Profile Photo

Ni kweli. Aibu kubwa na uchungu mzito kuona alichofanyiwa Lissu. Nilikuwemo mahakamni nami sikuelewa nini askari walikuwa wanajaribu lufanya. Lissu ni kilema kutokana na alichofanyiwa na haohao wanaomsukuma. Je,wanaona kazi wailyoanza hawajaimaliza,hivyo bora kummarize kabisa?

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Kwamba mgombea mmoja wa urais ni busara ila watatu wa ubunge si busara. Wao kuengua wagombea ubunge ni busara, lakini kule chini kuengua wagombea udiwani sio busara. Kama mmeshukiwa na Roho Mtakatifu mkabatilisha ukataji wa madiwani si mbatilishe na maamuzi yenu ya kukata wabunge

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

“Siku hizi, mchungaji akishaanza kutrend, madhabahu inageuka jukwaa. Si tena mahali pa kukutana na Mungu, bali pa kupiga picha na kutoa show. Taa nyingi, make-up kali, lakini Injili haipo! Badala ya toba, ni motivational speech. Badala ya Roho Mtakatifu, ni kamera za HD. Watu

MWANAMAPINDUZI (@machumukadutu) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KUHUSU KESI YA ASKOFU MWANAMAPINDUZI. KESI YA ASKOFU MWANAMAPINDUZI ITASIKILIZWA KWA SIKU MBILI MFULULIZO KUANZIA LEO TAREHE 06.08.2025 NA KESHO TAREHE 07.08.2025 KWENYE MAHAKAMA YA MKOA SINGIDA. WANACHAMA WA CHADEMA NA WADAU WOTE WA HAKI MNAKARIBISHWA KUFIKA,

TAARIFA KUHUSU KESI YA ASKOFU MWANAMAPINDUZI. 

KESI YA ASKOFU MWANAMAPINDUZI ITASIKILIZWA KWA SIKU MBILI MFULULIZO KUANZIA LEO TAREHE 06.08.2025 NA KESHO TAREHE 07.08.2025 KWENYE MAHAKAMA YA MKOA SINGIDA. WANACHAMA WA CHADEMA NA WADAU WOTE WA HAKI MNAKARIBISHWA KUFIKA,
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Resolution on the Human Rights Situation in the United Republic of Tanzania. ACHPR/Res.640 (LXXXIV) 2025 | African Commission on Human and Peoples' Rights achpr.au.int/en/adopted-res…

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Nimesoma ujumbe wa mama Tibaijuka kuhusu Marehemu Job Ndugai kumfuta ubunge Mhe. Tundu Lissu. Mhe. Tibaijuka anadai Job alishinikizwa kutoka juu, bado haitoshi ku justify makosa mengi aliyoyafanya akiwa spika wa bunge. Vile tu Marehemu hasimangwi. Itoshe kusema R.I.P Job.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tunapokea taarifa nyingi kuhusu usalama wa Mwenyekiti wetu. Tunazipokea kwa uzito unaotakiwa, Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu alikamatwa akiwa na afya yake njema. Lolote baya likimtokea kwenye mikono ya vyombo vya dola sisi chama hatutakubali. Dunia haitakubali. Rais Samia Suluhu

Tunapokea taarifa nyingi kuhusu usalama wa Mwenyekiti wetu.

Tunazipokea kwa uzito unaotakiwa, Mwenyekiti <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> alikamatwa akiwa na afya yake njema.

Lolote baya likimtokea kwenye mikono ya vyombo vya dola sisi chama hatutakubali. Dunia haitakubali.

Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>