HG(@HassanGaddafi12) 's Twitter Profileg
HG

@HassanGaddafi12

ID:1612901108422156312

calendar_today10-01-2023 19:56:34

859 Tweets

83 Followers

582 Following

ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Ukiona mwanamke anasema tuachane jua hiyo process ni ya Muda mrefu sana sio jana au leo.

Yawezekana imemchukua hata miezi mitatu nyuma kukutoa akilini so mpaka anatamka jua haupo tena kichwani.

Demu akikwambia tuachane usifikirie mara mbili achana nae get new project.

account_circle
Isaack Nsumba(@isaack_nsumba) 's Twitter Profile Photo

Sio Vibaya Kuwa Wa KWANZA Kumtafuta Mwenzi Wako na Kuanzisha Mawasiliano Nae.

Ila...ni Vibaya na KUJISHUSHIA HESHIMA Kuwa Wakwanza MARA KWA MARA Kufanya Hivyo.

Manake, Kama Usipomuanza wewe Basi Hamtawasiliana...na Kama ni Hivyo HAKUNA MAPENZI HAPO!

account_circle
حسنى🍂(@Husna_h_) 's Twitter Profile Photo

Apart from the load,
The heaviness of the head,
It is the bitterness of secret tears,
Which they hold,
Pillows.

The secrets we keep,
From the whole world,
To release the heaviness,
To the pillow we drop,
You wanna know what am going through?
Ask my pillow.

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Bros.

Ukiwa bado kwenye mapambano na kujitafuta na haujajipata bado epuka mwanamke awaye yeyote anakuangusha kiuchumi au kutumia pesa unayosaka.

Hauwezi kushinda unacheza wing kariakoo au unauza nguo na perfume online then uwe na demu anataka 30k kila mwezi kwaajili ya nywele

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

15 Muhimu On the begining of SEPTEMBER 2023.

WANAUME.

1. Usililie tena mwanamke

2. Usitumie pesa kumfanya aendelee kuwa na wewe.

3. Usitumie pesa kumfanya akukubali.

4. Usiwe SIMP.

5. Usikubali kuteswa na mapenzi.

6. Usipuuzie red flag zake.

7. Usipende mlevi.

8.

account_circle
OPTIMIST ⚔️(@abbycool2_) 's Twitter Profile Photo

01.09.2023.

Ni mwezi mpyaa...Usifanye ushenzi kama mwezi uliopita,

Unaweza kubadili njia zako,

Badili mawazo yako,

Kukataa kuendeshwa na hisia,

Tembea kwenda mbele, haijalishi mwendo mdogo kiasi gani,

God bless you all,

* don't do the same shit*

account_circle
Millambo®(@Millambo_) 's Twitter Profile Photo

POTEA KWA MIEZI 6:

1. Mrudie Mungu

2. Kamua sana tizi

3. Jifunze kuona maono yako

4. Jenga nidhamu

5. Kula kwa afya

6. No porn & punyeto,

7. No betting

8. No soda & energy

9. Ishi na malengo yako

10. Jifunze ujuzi mpya

11. Jifunze ushawishi

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

I finally learned how to accept seasonal friendships and honor them for what they were in the moment I needed them, I don't spend days agonising about why a friendship ended, especially if there was no bad blood involved, People are not yours to own, experience them and go.

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

1. Natamani Kuelewa Kwanini Katika Ndoa Watu Wanaweza Kukaa Miaka Bila Kufanya Mapenzi.

2. Natamani Kuelewa Kwanini Baba Anasusa Majukumu Yake Kulea Watoto Tena Kuwatelekeza Kabisa.

3. Natamani Kufahamu Mzigo Anaoupata Mwanaume Alieoa Mke Malaya na Mlevi Kupindukia.

4. Bado

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Modern ladies wanaamini katika kujipatia kipato kwa looks zao, wanaamini kwenye shape na matako kama standard za ku sort out type ya wanaume watakao.

Akiwa na tako mweupe na shape na sura nzuri automatically ni tajiri.

Kupata mama nzuri ambayo haina standard za pesa ni utakesha

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Kama tweet ni useful usiishie kuisoma, jaribu kui practice uone je inaleta matokeo au hakuna.

Kama unasoma na kupenda maandiko bila implimentation ni sawa ba bure, ndio unakuta unakula tukio then unakumbuka kuna mtu aliwahi sema hivi wakati tayari umeumia.

Zikubadilishe.

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

As Man giving some stuffs kwa mwanamke ambae unapakua kwa uhakika ni Idea nzuri na hakuna asietoa kabisa.

Lakini most criteria to consider ni kwamba before giving to her angalia isi'affect welfare ya maisha yako, usiende beyond ili tu kumfurahisha.

Give to her some surplus

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

STORY KUTOKA DM..

Kaka prosper aisee unayo andika umu kuhusu hawa wanawake aisee ni ukweli mtupu.

Yani nina mdogo angu amemaliza degree mzumbe ni wakike alikuwa ana bwana ake, mshikaji alikuwa anampenda sana dogo sasa cha ajabu jamaa nae kamaliza chuo alikuwa hajapata kazi

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

STORY TIME.

Lengo ni kuzidi kujifunza pia watu wana share matukio yao halisi ili vijana wanaokaza kichwa waamke na kuamini hizi tweet ninazopandisha zina kazi.

Soma hii.

Hi bro, naomba tuendelee kuelimishana kuhusu hawa wanawake.

Kisa changu.

Wakati Niko chuo saut mwanza

account_circle
Mchache(@mchache__) 's Twitter Profile Photo

Ni muda wa kupata wale walioweka handle zao asubuhi kuwa wanafollow back nao ni hawa hapa

Mangi Wa Kichagga

@Gcndaki

HG

Mawax.

Warrior Julius

Mhenga

Kama na wewe una follow back reply na handle yako

Ni muda wa kupata wale walioweka handle zao asubuhi kuwa wanafollow back nao ni hawa hapa @Deo18Tarimo @Gcndaki @HassanGaddafi12 @MethodIsaya @Julius1Warrior @mhenga03 Kama na wewe una follow back reply na handle yako
account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Wazazi, dada, kaka, shangazi na wajomba ambao mko nyumbani then watoto wenu wako ngazi ya cheti au diploma au non funded education ngazi ya vyuo.

Kama hamuwapi pesa nzuri tambueni kabisa kwamba wanatumiwa na wavulana wenye kipato ili kupush maisha, their sex organ ndio security.

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

From comments.

Mahusiano kama biashara tu, na kila biashara ina faida na changamoto zake

Chukulia mwanamke wako kama biashara yako, oanisha faida na changamoto then jiulize je naweza kuishi na hizi changamoto kwenye hii biashara?

Kama jibu ndio ifanye kama sio achana nayo.

account_circle
ProsperNow.(@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Anguko la wanaume is real na tunaendelea kuona, sa imagine mwanaume sikuhizi nae anaenda kula let say migahawa mikubwa nae anapiga picha ndio apost mitandaoni.

Bros like for real? Maisha ni kuchagua na kila mtu anaishi anavyoweza lakini man diginity should be maintained wazee.

account_circle