Millambo®(@Millambo_) 's Twitter Profileg
Millambo®

@Millambo_

I Help Creators & Entrepreneurs Build their Personal Brands and Monetise their Mind: Focus on Solopreneurship, Mind Mastery & Bio Hack!

ID:3254515853

linkhttps://t.me/JeshiLaMtuMmoja calendar_today14-05-2015 19:04:24

26,3K Tweets

22,9K Followers

836 Following

fredy@mitumba🇹🇿🇰🇪🇺🇬(@fredymboya) 's Twitter Profile Photo

Millambo® Asee ni kweli ila kahawa asubuhi napenda kikombe kimoja, na saa 4 ivi matunda aseee zamani ilikuwa supu & machapati sitaki kusikiaa

account_circle
Khaled(@meetkhaled_) 's Twitter Profile Photo

Aina ya CONTENT ninazo Post na zinaleta Matokeo Makubwa kama haya Kwa Muda Mfupi

Nimeziandika Kwenye eBook yangu ya 'Content Maokoto'

Leo Naitoa Kwa Watu 10 Tu

Bei yake Tshs 14,999
Leo Tu Tshs 3,750
Okoa Tshs 11,249

DM neno 'LEO' Kulipia Sasa Hivi.

PS: Hii ni One Time OFA

Aina ya CONTENT ninazo Post na zinaleta Matokeo Makubwa kama haya Kwa Muda Mfupi Nimeziandika Kwenye eBook yangu ya 'Content Maokoto' Leo Naitoa Kwa Watu 10 Tu Bei yake Tshs 14,999 Leo Tu Tshs 3,750 Okoa Tshs 11,249 DM neno 'LEO' Kulipia Sasa Hivi. PS: Hii ni One Time OFA
account_circle
Millambo®(@Millambo_) 's Twitter Profile Photo

Unawezaje kupiga hatua?

1. Kujigundua tabia zinazokukwamisha na kuziacha

2. Kujigundua vitu vinavyokurudisha nyuma na kuviacha

3. Kujifunza mambo mapya yatakayokuvusha..

Unajaribu na ku-improve mpaka ikubali.

Tumia mbinu hii kila unapokwama.

account_circle
Abdul😍(@AkiduZacha96428) 's Twitter Profile Photo

1Wake up early.
2Do meditation or exercise.
3Try to drink more water and must.
4Maintain hygiene and take care of yourself.
5Take cold showers.
6Be smile and the reason for someone's smile.
7Eat Good and less, be with homemade food.

account_circle
African Microbiologist 👨🏿‍🔬 ⛑️ 🔬(@AlfredLundux) 's Twitter Profile Photo

Hii nimeexperience sana,, mara tu baada ya kula asubuhi kilichokuwa kinafuata ni kukaakaa bila kazi kwa sababu ya uchovu na hivyo mipango yote kufeli,, ila baada ya kuquit kula asubuhi nikaona changes to my daily routine

account_circle
ramaa(@traderama01) 's Twitter Profile Photo

Millambo® Kuna jamaa aliongea hivi nikamzingua ila nilijaribu kupiga deshi asubuhi mbili nkawa nakunywa maji tu sikuacha hii falsafa hadi leo

account_circle
Millambo®(@Millambo_) 's Twitter Profile Photo

Aliyeleta mchezo wa kula asubuhi baada ya kuamka alitukosea sana.

Breakfast ni vunja funga. Sio chakual cha asubuhi.

Unapoamka unakuwa na nguvu ya kwenda muda mrefu.

Ukila asubuhi:
- Unachoka
- Unapata usingizi
- Unapoteza mzuka

Kula asubuhi ni anasa. Hakuna faida.

account_circle
𝓜𝓸𝓬𝓪𝓰𝓸(@Mocago10) 's Twitter Profile Photo

Millambo® Ergonomic hazards ⚠️claim lives and leave many in terrible conditions. We shouldn’t be risking lives like this while others are pocketing our taxes and living in luxury without creating job opportunities for those in need. It’s heartbreaking and deeply unjust.

account_circle
Millambo®(@Millambo_) 's Twitter Profile Photo

Kuna hii OFA ilitoka jana.

Namna bora kujisaidia wewe mwenyewe kabla ya kusaidiwa.

Soma na uchukue hatua.

account_circle
Millambo®(@Millambo_) 's Twitter Profile Photo

Umesema vyema kaka.

Addiction huanza taratibu.

Na kuacha ni ngumu kweli.

Watu waache kusikiliza ushauri wa juu juu.

Watawaumiza bure.

account_circle
JOSEPH🥼🔬💉(@jiggerboy02) 's Twitter Profile Photo

Millambo® Millambo® umeandika vyema kabisa kiongozi bila kujua jinsi addiction inavyoanza unaweza ukazani hata kuacha ni vyepesi... Mimi nilishawahi kuwa na addiction ya uvutaji bangi aseee ni mateso sana tena sana hadi kuja kuacha japo nilianza na mimi kidogo kidogo...

account_circle
Millambo®(@Millambo_) 's Twitter Profile Photo

Ulevi haujawahi kuwa na faida. Ukimkuta kijana mlevi lazima kuna mambo mengi anaharibu kimaisha. Aidha kazi, mahusiano, mali na vitu vingine vingi.

account_circle