Warrior Julius(@Julius1Warrior) 's Twitter Profileg
Warrior Julius

@Julius1Warrior

ID:1588422250721591298

calendar_today04-11-2022 06:46:59

9,0K Tweets

2,7K Followers

1,9K Following

Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

๐๐ˆ๐† ๐’๐”๐‘๐๐‘๐ˆ๐’๐„๐Ÿคฉ

Kesho Azam Complex, Chamazi๐Ÿ”ฅ Mwananchi hii si ya kukosa๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ

๐๐ˆ๐† ๐’๐”๐‘๐๐‘๐ˆ๐’๐„๐Ÿคฉ Kesho Azam Complex, Chamazi๐Ÿ”ฅ Mwananchi hii si ya kukosa๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
account_circle
SIMBA BINGWA 2024(@1960Remija) 's Twitter Profile Photo

Nakumbuka Yanga baada ya Manji tulikua tunasema Simba wameharibu uwanja wa Taifa, kumbe hatuna kikosi imara wala msuli wa kushindana popote. Script imerudi kwa majirani, napenda kuona wanavyohangaika kuhusu uwanja na ukweli wanaujua.

account_circle
SIMBA BINGWA 2024(@1960Remija) 's Twitter Profile Photo

Tasnia ya uchambuzi wa habari za michezo ina uhaba wa watu halisi wa mpira. Hapa unaweza kusema kuna wachambuzi wawili tofauti. ๐Ÿ’”

Tasnia ya uchambuzi wa habari za michezo ina uhaba wa watu halisi wa mpira. Hapa unaweza kusema kuna wachambuzi wawili tofauti. ๐Ÿ’”
account_circle
MENTOR(@jofrey_mentor) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume, kama hujajiandaa kumbebesha mimba binti wa Watu angalia kwanza ni binti wa aina gani isije baadae ikawa aibu,

'angalieni Wanawake wa kuzaa nao kama hamjajiandaa kuingia katika Ndoa.'

account_circle
Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

โ€œNichukue fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Dkt Hussein Ally Mwinyi, Wizara ya michezo na Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) kwa kazi nzuri wanayoendelea kuifanya katika kukuza na kuimarisha sekta ya michezo na kwa kupitia

MeaMswahili(@meamswahili) 's Twitter Profile Photo

Wabongo Wakitaka Lao Huwezi Kuwazuia. Pasi 45 Alafu 50 Zimefika ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Neno Moja Kwa Mchambuziโ€ฆ?!๐Ÿ˜

account_circle
Eddo(@Eddo142) 's Twitter Profile Photo

'Matikiti kudondoka, matikiti kudondokea'

Haka kajamaa katapeli ka mziki, sasa hicho Nini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘†

'Matikiti kudondoka, matikiti kudondokea' Haka kajamaa katapeli ka mziki, sasa hicho Nini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘†
account_circle