EMMA A KIMAMBO(@Emmakimambo1) 's Twitter Profileg
EMMA A KIMAMBO

@Emmakimambo1

Chairperson CHADEMA youth Wing Arusha Region//Activist//Married//mother//Photographer//Simba fan

ID:1217372398158340097

calendar_today15-01-2020 09:06:39

1,0K Tweets

2,0K Followers

1,7K Following

EMMA A KIMAMBO(@Emmakimambo1) 's Twitter Profile Photo

'CAG amebaini kwamba kuna manunuzi ambayo yalifanyika nje ya mfumo wa kielektroniki ya Bilioni 28.13 kwa nchi nzima, ambayo ni kinyume na kanuni 342(1) ya manunuzi ya umma ya mwaka 2013'- Boniface Jacob

'CAG amebaini kwamba kuna manunuzi ambayo yalifanyika nje ya mfumo wa kielektroniki ya Bilioni 28.13 kwa nchi nzima, ambayo ni kinyume na kanuni 342(1) ya manunuzi ya umma ya mwaka 2013'- @ExMayorUbungo #UchambuziWaExMayor #CAGreport
account_circle
EMMA A KIMAMBO(@Emmakimambo1) 's Twitter Profile Photo

Wakati mnawavalisha hawa vijana tshert mlihakikisha wamekula?? Niumaskini wa hali ya kiwango cha juu vijana hatutalivumilia... tukutane kwenye maandamano tar 25

Arusha tutakiwasha tena na tena Sababu tunazo uwezo wa kuandamana tunao na hija za kuandamana tunazo sasa mbanga yoyote ajichanganaye

Upendo wewe ni mpumbavu usitafute legitmas sehem ambayo ulisema unadhalilishwa nakufaham vizuri tutakuanika hadharani maovu yako nenda mwana kwenda

account_circle
EMMA A KIMAMBO(@Emmakimambo1) 's Twitter Profile Photo

Uzembe wa dereva umegarimu tena uhai wa watoto wetu daa bad day 😭😭😭😭😭😭Rest in peace our soul

Uzembe wa dereva umegarimu tena uhai wa watoto wetu daa bad day 😭😭😭😭😭😭Rest in peace our soul
account_circle
EMMA A KIMAMBO(@Emmakimambo1) 's Twitter Profile Photo

' Tunataka kuona vijana jeuri katika Taifa hili na wenye kujiamini na sio waoga ' ndiyo bwana mkubwa'. Tunataka kuona vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya kidhalimu isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania'. Hongera sana Dedan Chacha Wangwe

' Tunataka kuona vijana jeuri katika Taifa hili na wenye kujiamini na sio waoga ' ndiyo bwana mkubwa'. Tunataka kuona vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya kidhalimu isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania'. Hongera sana @DedanWangwe
account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

'Wakati gharama za Maisha zikiendelea kupanda vijana wapo mtaani hawana ajira, walioajiriwa serikalini mishahara yao ni duni, walioajiriwa kwenye sekta binafsi hali ni baya zaidi. Vijana tunakila sababu ya kujitokeza katika WIKI YA MAANDAANO KUONYESHA KISASI CHA UMMA.' Mhe.

account_circle
EMMA A KIMAMBO(@Emmakimambo1) 's Twitter Profile Photo

Tukiwaambia ccm haina watu wawe wanaamini basi Mara TIMUA RUDISHWA,TIMUA RUDISHWA sasa nyie vijana wengine mnaojiita ccm kindak ndaki mtateuliwa lini eti
# FUTA DELETE CCM KABISA

Tukiwaambia ccm haina watu wawe wanaamini basi Mara TIMUA RUDISHWA,TIMUA RUDISHWA sasa nyie vijana wengine mnaojiita ccm kindak ndaki mtateuliwa lini eti # FUTA DELETE CCM KABISA
account_circle
Joel Msuya(@JoelHamisMsuya) 's Twitter Profile Photo

Hongereni sana viongozi wa BAVICHA KANDA YA KASKAZINI. Vijana wa kanda ya kaskazini wanawategemea sana!! Keep shining!!
🎯 Freddie
🎯 EMMA A KIMAMBO

Hongereni sana viongozi wa BAVICHA KANDA YA KASKAZINI. Vijana wa kanda ya kaskazini wanawategemea sana!! Keep shining!! 🎯 @frediejustine 🎯 @Emmakimambo1
account_circle
EMMA A KIMAMBO(@Emmakimambo1) 's Twitter Profile Photo

Tumerudi zama za mwenda zake hii si sawa kabisa niwaombe vijana wenzangu tupaze sauti juu ua kijana mwenzetu leo ni DEUSDEDITH SOKA kesho hatujui ni nani.

Tumerudi zama za mwenda zake hii si sawa kabisa niwaombe vijana wenzangu tupaze sauti juu ua kijana mwenzetu leo ni @DEUSDEDITHSOKA kesho hatujui ni nani.
account_circle
EMMA A KIMAMBO(@Emmakimambo1) 's Twitter Profile Photo

Vile Upendo Peneza baada ya mkutano wake wa kununua watu kwa 5000 na kubeba kadi feki za makaratasi na kusahau CHADEMA nchi nzima wana kadi za kidigital . Wana Geita wanamcheki tuu na kusema moyono haka kabinti kapumbavu sana. Akiendelea tutafungua mafile yake

Vile @UpendoPeneza baada ya mkutano wake wa kununua watu kwa 5000 na kubeba kadi feki za makaratasi na kusahau CHADEMA nchi nzima wana kadi za kidigital . Wana Geita wanamcheki tuu na kusema moyono haka kabinti kapumbavu sana. Akiendelea tutafungua mafile yake
account_circle