El' Patron Picha mbao.(@Elparton112) 's Twitter Profileg
El' Patron Picha mbao.

@Elparton112

Laboratory scientist 🥼 | Picha mbao| Story Za Mziki bongo #MadiniNaPatron

Whatsup Direct Link Message komu on WhatsApp. https://t.co/eafnnrcZyv

ID:1228192897725386753

calendar_today14-02-2020 05:43:11

70,2K Tweets

38,9K Followers

2,5K Following

Mankakidoti(@mankadolly) 's Twitter Profile Photo

High boots zipo
Frame 1&2 size 36-42
Bei :160k
Frame 3 size 36-42
Bei:180k
Frame 4:size 36-42
Bei:140k
Simu:0692608572
Duka lipo Sinza Mapambano
Mikoani na nchi jirani tunatuma
Dar tunafanya delivery


High boots zipo Frame 1&2 size 36-42 Bei :160k Frame 3 size 36-42 Bei:180k Frame 4:size 36-42 Bei:140k Simu:0692608572 Duka lipo Sinza Mapambano Mikoani na nchi jirani tunatuma Dar tunafanya delivery #sokoletu #nipedili #kindlyrepost
account_circle
Latto 𝕏(@Rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Mzee w Gadi kwa Wastani wa Idadi anasema hali sana sasa hicho anachokula sasa😂😂😂😂🙌🏽

Video kwa comments👇🏾👇🏾

Mzee w Gadi kwa Wastani wa Idadi anasema hali sana sasa hicho anachokula sasa😂😂😂😂🙌🏽 Video kwa comments👇🏾👇🏾
account_circle
Mankakidoti(@mankadolly) 's Twitter Profile Photo

Jordan 3 x J balvin
Size :::40-44
Price :::80000
Phone:0692608572
Narung'ombe street
Mikoani na nchi jirani tunatuma
Dar tunafanya delivery


account_circle
Latto 𝕏(@Rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, amesema kuwa kuwe na siku moja ya kufanya mazoezi kwa Watanzania

Ambapo wameanza na Dar es Salaam ambapo kesho kutwa Jumamosi itakuwa siku ya mazoezi kupitia fukwe za barabara kupitia kwenye daraja!!

Video kwa comments👇🏾👇🏾

Waziri Mkuu, amesema kuwa kuwe na siku moja ya kufanya mazoezi kwa Watanzania Ambapo wameanza na Dar es Salaam ambapo kesho kutwa Jumamosi itakuwa siku ya mazoezi kupitia fukwe za barabara kupitia kwenye daraja!! Video kwa comments👇🏾👇🏾
account_circle
Mankakidoti(@mankadolly) 's Twitter Profile Photo

Jordan 3 x J balvin
Size :::40-44
Price :::80000
Phone:0692608572
Narung'ombe street
Mikoani na nchi jirani tunatuma
Dar tunafanya delivery


Jordan 3 x J balvin Size :::40-44 Price :::80000 Phone:0692608572 Narung'ombe street Mikoani na nchi jirani tunatuma Dar tunafanya delivery #sokoletu #nipedili #kindlyrepost
account_circle
Adventure-360(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 ni kuhusu upatikanaji Mbolea ambapo mbolea nyingi zilipatikana kwa wakati na kusambazwa kwa wakulima wakubwa na wadogo wadogo tena kwa Kiwango kikubwa.


account_circle
Latto 𝕏(@Rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Wadudu wameingizwa kwenye MFUMO!!

Makonda kweli ni mwana Diplomasia mkybwa saaana😂😂😂

By the way, respect to Camera man wa Makonda!!

Picha nyingine kwa Comments👇🏾👇🏾

Wadudu wameingizwa kwenye MFUMO!! Makonda kweli ni mwana Diplomasia mkybwa saaana😂😂😂 By the way, respect to Camera man wa Makonda!! Picha nyingine kwa Comments👇🏾👇🏾
account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Watoto kwa Watu wazima Sasahivi tunatumia sana vyakula vya Mafuta na Sukari ambavyo ni hatari kwa afya zetu Takwimu za Mahospitalini zinaongea.

Na Huwa hatusomi hata ingredients za vyakula tunavyonunua hasa za viwandani.

TAWLA

Watoto kwa Watu wazima Sasahivi tunatumia sana vyakula vya Mafuta na Sukari ambavyo ni hatari kwa afya zetu Takwimu za Mahospitalini zinaongea. Na Huwa hatusomi hata ingredients za vyakula tunavyonunua hasa za viwandani. #FrontOfPackLabel #FOPL #HakiHainaJinsia @TawlaTZ
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

🚨KIBU DENIS ana offer tatu kutoka klabu tatu ndani ya nchi ikiwemo SIMBA, kipaumbele chake ni Simba ila kuna maboresho ya kimkataba ambayo yanapaswa kufanyika ili asaini, yale ya msingi Simba wameyafikia ila kuna ya ziada ambayo wao hawajayafikia mpaka sasa, Kibu hana tatizo…

🚨KIBU DENIS ana offer tatu kutoka klabu tatu ndani ya nchi ikiwemo SIMBA, kipaumbele chake ni Simba ila kuna maboresho ya kimkataba ambayo yanapaswa kufanyika ili asaini, yale ya msingi Simba wameyafikia ila kuna ya ziada ambayo wao hawajayafikia mpaka sasa, Kibu hana tatizo…
account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

'Niwaombe wadau wote tunajitahidi kuzungumzia kwa pamoja Changamoto Hizi za Magonjwa yasiyoambukizwa, ambayo kwa Namna nyingine yanachangiwa sana na Ulaji wa Chakula' ~|| Advocate Elinami Mungure


TAWLA

'Niwaombe wadau wote tunajitahidi kuzungumzia kwa pamoja Changamoto Hizi za Magonjwa yasiyoambukizwa, ambayo kwa Namna nyingine yanachangiwa sana na Ulaji wa Chakula' ~|| @elinami_mungure #FrontOfPackLabel #FOPL #HakiHainaJinsia @TawlaTZ
account_circle
Latto 𝕏(@Rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Hapa Mbunge anajielezea sana kutaka kukanusha lile pendekezo lake la kutaka watanzania bara watu waende kwa 'Passport Zanzibar'

Ki- ukweli ameelezea ila mimi sijaelewa

Hebu msikilize wewe labda utamuelewa!!

Video kwa comments👇🏾👇🏾

Hapa Mbunge anajielezea sana kutaka kukanusha lile pendekezo lake la kutaka watanzania bara watu waende kwa 'Passport Zanzibar' Ki- ukweli ameelezea ila mimi sijaelewa Hebu msikilize wewe labda utamuelewa!! Video kwa comments👇🏾👇🏾
account_circle
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Leo nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikakutana na Mwenge wa Uhuru, pale maeneo ya Visiga Madafu. Tukaamrishwa kusimama. Nikaamua kushuka na coffee mug yangu kutafuta mgahawa ninunue kahawa.

Nilipoangaza nikaona mama ntilie pale jirani. Kwenda kuuliza hana kahawa. Bwana mmoja…

account_circle
ILHAM 🖤(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Kwa kifurushi cha 25k, utaweza kushuhudia Bayern Leverkusen vs Roma!!

DStv ina hakikisha haukosi mechi hata moja🔥!!

Bofya *150*53# kulipia chap!

Kwa kifurushi cha 25k, utaweza kushuhudia Bayern Leverkusen vs Roma!! DStv ina hakikisha haukosi mechi hata moja🔥!! Bofya *150*53# kulipia chap! #MfalmeWaBoma
account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

'Kuna changamoto kubwa ya Magonjwa yasiyoambukizwa, ambayo yanachangiwa pakubwa na mtindo wa maisha pamoja na vyakula tunavyotumia, hivyo TAWLA inatarajia kufanya program inayolenga kushawishi serikali kupitisha Sheria na sera za kumlinda mtaji na vyakula vya kusindika'

'Kuna changamoto kubwa ya Magonjwa yasiyoambukizwa, ambayo yanachangiwa pakubwa na mtindo wa maisha pamoja na vyakula tunavyotumia, hivyo @TawlaTZ inatarajia kufanya program inayolenga kushawishi serikali kupitisha Sheria na sera za kumlinda mtaji na vyakula vya kusindika'
account_circle
Wilson Oruma 🇹🇿(@Mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Kwahyo Kibu Denis anakataa mil 588M za Simba kwasababu ya hili Goli au sio?

Kuna Miezi 7 Sasa hivi tangu mara ya Mwisho mchezaji amewafungia bao halafu eti yeye ndo anawadengulia Kusaini Mkataba Mpya na sio Beki?

Naelewa sasa kwanini Simba Sports wanatoka kapa tena Msimu huu.

Kwahyo Kibu Denis anakataa mil 588M za Simba kwasababu ya hili Goli au sio? Kuna Miezi 7 Sasa hivi tangu mara ya Mwisho mchezaji amewafungia bao halafu eti yeye ndo anawadengulia Kusaini Mkataba Mpya na sio Beki? Naelewa sasa kwanini Simba Sports wanatoka kapa tena Msimu huu.
account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

'Tunaamini kukosa Taarifa sahihi kwa mnunuzi ama mlaji wa bidhaa kunasababisha sana Kuchangia kwa Magonjwa yasiyoambukizwa, kwa sababu bidhaa nyingi hazielezei vitu vilivyomo Ndani kwa lugha inayoeleweka'

~Isabella Nchimbi - Project coordinator @tawlaTz

'Tunaamini kukosa Taarifa sahihi kwa mnunuzi ama mlaji wa bidhaa kunasababisha sana Kuchangia kwa Magonjwa yasiyoambukizwa, kwa sababu bidhaa nyingi hazielezei vitu vilivyomo Ndani kwa lugha inayoeleweka' ~Isabella Nchimbi - Project coordinator @tawlaTz #FrontOfPackLabel #FOPL
account_circle