Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@mzeewajambia

Working in football to try and illuminate the sport in Tanzania.Student of the beautiful game โšฝ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’ช

ID: 1444707653968617483

calendar_today03-10-2021 16:55:42

3,3K Tweet

82,82K Takipรงi

220 Takip Edilen

Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Mechi ya Simba SC dhidi ya Al Masry itapigwa hapa Katika Dimba hili la Suez mjini Suez ni Mwendo wa Saa 1 :21 Kutoka uwanja wa Suez Canal Ismailia ambapo Simba walikuwa wanafanya Mazoezi tangu wamefika Egypt Unachukua watazamaji 28,000 ,lakini kesho wanaruhusiwa 10,000 tu โœ…

Mechi ya Simba SC dhidi ya Al Masry itapigwa hapa Katika Dimba hili la Suez mjini Suez ni Mwendo wa Saa 1 :21 Kutoka uwanja wa Suez Canal  Ismailia ambapo Simba walikuwa wanafanya Mazoezi tangu wamefika Egypt

Unachukua watazamaji 28,000 ,lakini kesho wanaruhusiwa 10,000 tu โœ…
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Nimemsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tabora Kaka Yangu Paul Chacha kuhusu kuwepo kwa meseji za kutaka kuwahonga wachezaji walegeze then walipwe baadae. Nimesikiliza sauti ya golikipa Noel Amonome na Tabora wameithibitisha ni yeye akiwa anakataa Kuhongwa. And you guys mnaona Kawaida?

Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Nimerudia 50 times bado Siamini Kibivipi hii sio Penalty. Simba walikuwa na uwezo wa Kufanya bora zaidi Kushinikiza VAR Review? I think Yes,bado tuna Kaubaridi flani hivi Ka Kitanzania Kwenye haya Mambo. Nimekumbuka Yanga Afrika walivyodhulumiwa dhidi ya Mamelodi bao la Aziz Ki

Nimerudia 50 times bado Siamini Kibivipi hii sio Penalty. Simba walikuwa na uwezo wa Kufanya bora zaidi Kushinikiza VAR Review?

I think Yes,bado tuna Kaubaridi flani hivi Ka Kitanzania Kwenye haya Mambo. Nimekumbuka Yanga Afrika walivyodhulumiwa dhidi ya Mamelodi bao la Aziz Ki
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Mussa Camara ni Golikipa mzuri sana technically lakini anafanya Makosa mengi sana ya Msingi Achana na Magoli 2 ya jana,nenda Katazame mechi nyingi ambazo Simba imepoteza Points kwenye Ligi Mechi ya 2-2 dhidi ya Coastal,Mechi ya 1-0 na Yanga,Mechi ya 1-1 dhidi ya Fountain Gate.

Mussa Camara ni Golikipa mzuri sana technically lakini anafanya Makosa mengi sana ya Msingi

Achana na Magoli 2 ya jana,nenda Katazame mechi nyingi ambazo Simba imepoteza Points kwenye Ligi

Mechi ya 2-2 dhidi ya Coastal,Mechi ya 1-0 na Yanga,Mechi ya 1-1 dhidi ya Fountain Gate.
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Hatuwezi Kuwakosea Adabu Viongozi wa Nchi kwa Kisingizio cha Ushabiki wa Mpira. Hivi humu unaweza Kurudisha tusi kwa Baba yako mzazi kwa Kisingizio cha ushabiki wa Yanga na Simba? Tutafundishwa Kuwa na Adabu na Kiasi hata kama kwa njia Ndefu na Ngumu.

Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Naelewa sana Frustration ya Clement Mzize Imagine wewe ni miongoni mwa wafungaji bora wa Ligi unatolewa zimebaki Dakika 25 then inaingia Ikangalombo. Kufanyiwa Substitution ni Kitu cha Kawaida sana Kwenye Mpira.Anaingia nani? Hapa ndo shida inaponzia .

Naelewa sana Frustration ya Clement Mzize 

Imagine wewe ni miongoni mwa wafungaji bora wa Ligi unatolewa zimebaki Dakika 25 then inaingia Ikangalombo.

Kufanyiwa Substitution ni Kitu cha Kawaida sana Kwenye Mpira.Anaingia nani? Hapa ndo shida inaponzia .
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

#Glossaryyasoka Hivi huyu Elie Mpanzu Kibisawala Kama anasema bado hajafika hata 75% ya uwezo wake yupo hivi akija Kufika 100% itakuwaje Umefikiria hilo? He is work of Art ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ WAKO MTIIFU.

#Glossaryyasoka Hivi huyu Elie Mpanzu Kibisawala Kama anasema bado hajafika hata 75% ya uwezo wake yupo hivi akija Kufika 100% itakuwaje Umefikiria hilo? He is work of Art ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

WAKO MTIIFU.
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Glossaryasoka|Baada ya ile 2-0 Pale Suez watu walianza hata kuhoji Uwezo Genius FADLU DAVIDS..How Dare You.โœ๏ธ Tuache Kuchambua mpira Kwa Kutazama tu ubao wa Matokeo bila Kutazama uhalisia wa nini hasa Kimetokea Kiwanjani Siku nyingine leta mechi 10 kama ile 9 mnyama anashindaโœ…

Glossaryasoka|Baada ya ile 2-0 Pale Suez watu walianza hata kuhoji Uwezo Genius FADLU DAVIDS..How Dare You.โœ๏ธ

Tuache Kuchambua mpira Kwa Kutazama tu ubao wa Matokeo bila Kutazama uhalisia wa nini hasa Kimetokea Kiwanjani

Siku nyingine leta mechi 10 kama ile
9 mnyama anashindaโœ…
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Pamba wamechukua 3-1 ,ingeweza kuwa 4-1 Kama Gamba Matiko angefunga ile Penati Unaweza Kuamua Kumlaumu Minziro kama ukitaka,lakini nahisi utakuwa unamuonea tu Jkt ni moja ya team ngumu Kujiandaa Kucheza nazo kwasababu ya tactical Flexibility na bado wapo Kwenye Ujenzi wa team

Pamba wamechukua 3-1 ,ingeweza kuwa 4-1 Kama Gamba Matiko angefunga ile Penati

Unaweza Kuamua Kumlaumu Minziro kama ukitaka,lakini nahisi utakuwa unamuonea tu

Jkt ni moja ya team ngumu Kujiandaa Kucheza nazo kwasababu ya tactical Flexibility na bado wapo Kwenye Ujenzi wa team
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Mbeya City na Stand United Safari yenu imeishia robo Fainali.Lakini mnatuachaje? Dhidi ya Simba yule Mudathir alim Dominate Hamza na Kufunga moja ya mabao bora ya Mashindano Leo Kuna mtu anaitwa Msenda Kamrudisha Captain Beka Costal Union,Kabla ya kutoa adhabu kali kwa Diarra๐Ÿ™Œ

Mbeya City na Stand United Safari yenu imeishia robo Fainali.Lakini mnatuachaje?

Dhidi ya Simba yule Mudathir alim Dominate Hamza na Kufunga moja ya mabao bora ya Mashindano

Leo Kuna mtu anaitwa Msenda Kamrudisha Captain Beka Costal Union,Kabla ya kutoa adhabu kali kwa Diarra๐Ÿ™Œ
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Kama Jayrutty wana uwezo wa Kutengeneza zaidi ya Bil 38 Kwenye Kuuza Jezi thamani ya hizi timu inapaa sio kuruka tena Yanga Mkataba Kama huu ulikuwa ni Bil 9.1 na wanapewa cash Bil 1.5 kwa mwaka Miaka 5. Simba watapata Bil 5 Hapo sijagusa Faida nyingine ambazo zimetajwa๐Ÿ™Œ

Kama Jayrutty wana uwezo wa Kutengeneza zaidi ya Bil 38 Kwenye Kuuza Jezi thamani ya hizi timu inapaa sio kuruka tena 

Yanga  Mkataba Kama huu ulikuwa ni Bil 9.1 na wanapewa cash Bil 1.5 kwa mwaka Miaka 5. Simba watapata Bil 5

Hapo sijagusa Faida nyingine ambazo zimetajwa๐Ÿ™Œ
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Huyu Jamaa Jonathan Sowah anaweza Kuwa top scorer this season Amecheza mechi 12 tu ameshafunga bao 11. Leo dhidi ya Tabora United ameweka 2 Yanga Africa wana solve shida ya mmaliziaji mzuri wa nafasi hapa โœ…

Huyu Jamaa Jonathan Sowah anaweza Kuwa top scorer this season 

Amecheza mechi 12 tu ameshafunga bao 11. Leo dhidi ya Tabora United ameweka 2

Yanga Africa wana solve shida ya mmaliziaji mzuri wa nafasi hapa โœ…
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

The Winning Team Never change? Au Kuna Mabadiliko Kidogo Fadlu Davids anatakiwa Kuyafanya Leo? Mnyama Simba Sports anataka Kuchukua hatua nyingine Kubwa Kuelekea Fainali ya CAF Confederation cup 2024/2025.

The Winning Team Never change?

Au Kuna Mabadiliko Kidogo Fadlu Davids anatakiwa Kuyafanya Leo?

Mnyama Simba Sports anataka Kuchukua hatua nyingine Kubwa Kuelekea Fainali ya CAF Confederation cup 2024/2025.
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Kwenye CAFCC hakuna mchezaji ametengeneza nafasi nyingi za Kufunga (27) kumzidi Jean Charles Ahoua Kwenye Goli 11 za Simba Sports amehusika na goli 5 Yani Goli 3 na Assists 2 Kwenye Ligi Goli 52 amehusika na Goli 19 Yani Goli 12 Assists 7 . Labda tatizo lipo sehemu nyingine๐Ÿ‘€

Kwenye CAFCC hakuna mchezaji ametengeneza nafasi nyingi za Kufunga (27) kumzidi Jean Charles Ahoua 

Kwenye Goli 11 za Simba Sports amehusika na goli 5 Yani Goli 3 na Assists 2

Kwenye Ligi Goli  52 amehusika na Goli 19 Yani Goli 12 Assists 7 . Labda tatizo lipo sehemu nyingine๐Ÿ‘€
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

JOHN NOBLE Kasi ya haya Mashambulizi ya Yanga hata angekuwa Thibaut Courtis angechanganyikiwa tu.โœ๏ธ Sio rahisi Golikipa wa team ya Taifa ya Nigeria Kufanya Ameteur errors Kama hizi Lakini Kwa Kasi na Ubora wa Mashambulizi ya Yanga John Noble amelazimishwa Kufanya haya Makosa

JOHN NOBLE Kasi ya haya Mashambulizi ya Yanga hata angekuwa Thibaut Courtis angechanganyikiwa tu.โœ๏ธ

Sio rahisi Golikipa wa team ya Taifa ya Nigeria Kufanya Ameteur errors Kama hizi 

Lakini Kwa Kasi na Ubora wa Mashambulizi ya Yanga John Noble amelazimishwa Kufanya haya Makosa
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Nafikiri Kuna Misconception somewhere Kwa Kilichotokea Jana kwa Noble Watu hawasemi Kuna Viashiria vya Kuchukua mzigo Kwasababu Makosa ya aina ile hutujawahi Kuyaona au hakuwahi kuyafanya Watu wanasema ni Kwasababu taarifa zinasema alitoroka Kambini siku moja Kabla ya Mechi .

Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

Kila Kitu Kipo upande wa Simba Sports Kutinga Fainali ikiwemo historia ya nusu Fainali 2 Mfululizo kwa team inayoshiriki CAFCC kwa Mara ya Kwanza. โœ๏ธ2022/2023 Yanga Africa waliitoa Marumo Gallants agg 4-1 โœ๏ธ2023/2024 Zamalek waliitoa Dreams FC kwa Agg ya 3-0 โœ๏ธ2024/2025 ??

Kila Kitu Kipo upande wa Simba Sports Kutinga Fainali ikiwemo historia ya nusu Fainali 2 Mfululizo kwa team inayoshiriki CAFCC kwa Mara ya Kwanza.

โœ๏ธ2022/2023 Yanga Africa waliitoa Marumo Gallants agg 4-1

โœ๏ธ2023/2024 Zamalek waliitoa Dreams  FC kwa Agg ya 3-0

โœ๏ธ2024/2025 ??
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

WHAT IS INSANITY? Ni kulipa zaidi ya Mil 100,Kuwalipa Mawakili 16 Kwa Kesi ambayo unajua HUWEZI KUSHINDA Kule CAS ni Kwaajili ya Usuluhishi baada ya Kushindwa Kupata haki Kwenye Ngazi zote za Maamuzi za TFF. Haya watu wanayajua Lakini Kwasababu lile ni Kapu la Wajinga poa tu

WHAT IS INSANITY? Ni kulipa zaidi ya Mil
100,Kuwalipa Mawakili 16 Kwa Kesi ambayo unajua HUWEZI KUSHINDA

Kule CAS ni  Kwaajili ya Usuluhishi baada ya Kushindwa Kupata haki Kwenye Ngazi zote za Maamuzi za TFF.

Haya watu wanayajua Lakini Kwasababu lile ni Kapu la Wajinga poa tu