Dodoma_Zone(@Dodoma_Zone_) 's Twitter Profileg
Dodoma_Zone

@Dodoma_Zone_

official Twitter Page Of Dodoma_Zone©

ID:4208433315

calendar_today17-11-2015 08:50:47

33,1K Tweets

23,1K Followers

94 Following

Follow People
Dodoma_Zone(@Dodoma_Zone_) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amewasili eneo la Mtumba jijini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya Ufunguzi wa Kituo cha Polisi Mtumba Daraja A kinachotarajiwa kufunguliwa rasmi leo na Mhe. Dkt. Philip Mpango Makamu wa Rais

account_circle
Dira Ya Samia(@DiraYaSamia) 's Twitter Profile Photo

Gurudumu la Maendeleo Tanzania Linaendeshwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kutumia vipaumbele vyake vinne vinavyofahamika kama (4R).

Maridhiano
Kujenga jamii inayofurahia haki sawa mbele ya sheria bila ubaguzi.

Ustahimilivu
Iwe ni kiuchumi, kimazingira, kijamii au
kisiasa…

Gurudumu la Maendeleo Tanzania Linaendeshwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kutumia vipaumbele vyake vinne vinavyofahamika kama (4R). Maridhiano Kujenga jamii inayofurahia haki sawa mbele ya sheria bila ubaguzi. Ustahimilivu Iwe ni kiuchumi, kimazingira, kijamii au kisiasa…
account_circle
Dodoma_Zone(@Dodoma_Zone_) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa leo Mei 10, 2024 amewasili uwanja wa ndege wa Songwe ambapo kesho Mei 11, 2024 ataongoza mbio za Mbeya Tulia Marathon.

Akiwa mkoani Mbeya, Waziri Mkuu atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.

Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ leo Mei 10, 2024 amewasili uwanja wa ndege wa Songwe ambapo kesho Mei 11, 2024 ataongoza mbio za Mbeya Tulia Marathon. Akiwa mkoani Mbeya, Waziri Mkuu atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.
account_circle
Dodoma_Zone(@Dodoma_Zone_) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso. akijibu hoja mbalimbali za wabunge ambapo Bunge limeidhinisha jumla ya TZS. 627,778,338,000/- kwenda kutekeleza kazi na shughuli mbalimbali za Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2024/2015 leo tarehe Mei 10, 2024.

Waziri wa Maji, Mhe. @aweso_jumaa akijibu hoja mbalimbali za wabunge ambapo Bunge limeidhinisha jumla ya TZS. 627,778,338,000/- kwenda kutekeleza kazi na shughuli mbalimbali za Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2024/2015 leo tarehe Mei 10, 2024.
account_circle
Dodoma_Zone(@Dodoma_Zone_) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , Mhandisi Hamadi Masauni, bungeni jijini Dodoma, Mei 10, 2024.  Katikati ni Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu, Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo Mei 9, 2024.

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso akiwasili Bungeni ikiwa ni siku ya pili ya Mjadala wa Waheshimiwa Wabunge juu makadirio ya Bajeti ya wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2024 / 25, jijini Dodoma leo Mei 10 2024.

January Makamba(@JMakamba) 's Twitter Profile Photo

Mganga ni Mungu na Subira. Subira ni imani katika hukumu ya wakati. Wakati hufifisha, hufufua. Wakati hutenganisha batili na kweli, bandia na halisi, povu na bia. Wakati hukatili fitna na uonevu. Wakati haurakishwi wala haucheleweshwi. Wakati ni duara, mzunguko wake hubusu haki.

account_circle
Dodoma_Zone(@Dodoma_Zone_) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe Dotto Biteko akiteta jambo na Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki,Mhe. Stephen Byabato bungeni Jijini Dodoma Leo

Mapema leo waziri wa fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD amepokea ugeni wa mwenyekiti wa chama cha wabunge cha kutokomeza Malaria Tanzania na mbunge wa viti maalumu Mhe. Riziki Lulida, ofisini kwake Dodoma.

Mapema leo waziri wa fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 amepokea ugeni wa mwenyekiti wa chama cha wabunge cha kutokomeza Malaria Tanzania na mbunge wa viti maalumu Mhe. Riziki Lulida, ofisini kwake Dodoma.
account_circle
Dodoma_Zone(@Dodoma_Zone_) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akitizama baadhi ya nyaraka katika maktaba iliyohifadhi nyaraka za kumbukumbu za ukombozi wa Bara la Afrika.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akitizama baadhi ya nyaraka katika maktaba iliyohifadhi nyaraka za kumbukumbu za ukombozi wa Bara la Afrika. #KaziIendelee
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nimezindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es Salaam.

Tunaendelea kupiga hatua kubwa katika kukuza sekta ya viwanda, na ninapata faraja kubwa kuona wananchi hasa vijana wakinufaika na fursa…

Mapema leo nimezindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es Salaam. Tunaendelea kupiga hatua kubwa katika kukuza sekta ya viwanda, na ninapata faraja kubwa kuona wananchi hasa vijana wakinufaika na fursa…
account_circle